Enzi hizo

Enzi hizo ukinyoa kipara, ukikutana na watu ni lazima wakupe pole, kipara ilikuwa ni ishara ya kuanua matanga.
[emoji3] [emoji3]aisee ni kweli kabisa
 
Rise on (raizoni )suruali pekos mifukoni imesokotwa kama utumbo shati climpline(sikumbuki spellings zake uzuri ilikuwa linavutika kama bazoka sio mchezo.
 
Enzi hizo kamera zilikuwa sio km hizi za selfie. Picha zilikuwa hazina rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…