Enzi hizo

Hivi kipindi cha nyuma ni kwamba vinyozi hawakuwepo kabisa ama kuacha nywele ilikuwa ndo style!?
Vinyozi walikuwepo ilikuwa ni style na sasa hivi imerudi tena jaribu kufuatilia mkuu.
 
Itakuwa ndo wale kama mtu mwingine ananyolewa za kwako unatia maji! Alafu unapewa na Big G ya kupunguzia uchungu, sasa itokee zimeisha na pipi machungwa pia hamna ukapatana na pipi kali!!![emoji25] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…