Enzi hizo!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1464340034646.jpg
 
heri yako mimi nilikua nikisema hivyo chemchemuni straight maji ya bariidii hakuna soda wala nini...
labda juice cola.... hahaha

nimekunywa sana hiyo kitu.kila nikiona namwambia mdingi kuwa mimi naumwa siwezi kula basi dukani straight.


swissme

Afadhali yenu, mimi mdingi alikuwa na vipakti vya super dip ndani, ukisema unaumwa tu kinachanwa then anapima robo ya unga wa superdip kwenye kipakti then anachanganya na maji lita tano then anakuachia upige nalo mieleka tani yako. Wakati mwingine vipakti kikikaribia kuisha na hana hela then unaweza kuta kipakti kimoja unanywe ndoo mbili za lita 20 za maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom