Enzi hizo ukiwa nayo hii unatesa....!!!!

hiyo ya pili ilikuwa inaitwa ki-vodacom, ilitoka kipindi kile vodacom ndo inaanza
 
Ya kwangu niliyoanza nayo. Motorola sold by Mobitel. Tumetoka mbali.

​
 

Attachments

  • image.jpg
    7.1 KB · Views: 217
kuna ile nyingine ulikua unawasha inakuandikia orange. waliniibia nilipo kua kibondo 2002.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…