Enzi hizo ukimaliza kuogeshwa!

Maisha yalipokuwa maisha, sijui tumekwama wapi sasa hivi mama kumuogesha mwanae ni taabu hana nafasi kila kitu dada wa kazi kina mama shughuli za kutafuta hela zimekuwa nyingi sana. Wakuu tatizo ni nini au kina baba wamekuwa wavivu wa kutunza familia ili mama awajibike na watoto hata akitoka kazini aachane na over time awahi home au afunge biashara mapema awahi home..?
 
Apo beki tatu kashakujongea kinonaa kwa bimkubwa
 
Ukigoma kulala unachapwa unapanda kitandani huku unalia hadi kwikwi hadi usingizi unakupitia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio ukute nilikuwa nacheza nimeitwa nimeogeshwa nasubiri kuvalishwa nguo na natakiwa kulala(tena mchana![emoji17])

Utoto tabu sana,unalala muda anaotaka mama
 
Mwanangu umfanyie hivyo?
Ukipiga uturn anajirudisha kwenye maji anazama kama samaki[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…