Enzi hizo, ukienda shop chenji inabaki...

Enzi hizo, ukienda shop chenji inabaki...

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
tanzania-1000-shilingi-1990-p22-wpmm.jpg

montanz5.jpg

tz_200shs_mwinyi_1.jpg

Noti ya sh. 100 mbele.JPG


View attachment 119730msimbazi wa enzi hizo

TanzaniaP9-20Shilingi-(1985)-donatedth_f.jpg

5915076.jpg
 
pamoja na mafuta,gesi,dhahabu,uranium na chuma vyote mlivyogundua nyakati hizo hazirudi?!
 
siku hizo hazina thamani tena,ukiwa na buku 20 UKICHENJI TU kwisha habari take
 
attachment.php


Hii noti hata kuikumbuka sitaki,maana siku moja natoka shule nikaiokota kufika nyumbani nikamuonyesha mama,basi na vile alikuwa mwalimu wacha anitie bakora na kuniuliza umeiiba wapi pesa yote hii..?? nikimwambia nimeokota anakataa.Kisha akanilazimisha niirudishe nilipoitoa ikabidi niirudishe pale nilipookota...Duh enzi hizoooooo.....
 
Nashkuru AlhamduliLlah, hizo zote mlizozionesha juu nimetumia na hizi pia:
 
attachment.php


Hii noti hata kuikumbuka sitaki,maana siku moja natoka shule nikaiokota kufika nyumbani nikamuonyesha mama,basi na vile alikuwa mwalimu wacha anitie bakora na kuniuliza umeiiba wapi pesa yote hii..?? nikimwambia nimeokota anakataa.Kisha akanilazimisha niirudishe nilipoitoa ikabidi niirudishe pale nilipookota...Duh enzi hizoooooo.....

Enzi hizo maadili ya wazazi yalikuwepo na walikuwa wanajitambua kama ni wazazi, siku hizi usishangae katika kesi kama hiyo mzazi anaichuku hiyo pesa na kuongezea katika matumizi/bajeti.
 
Back
Top Bottom