Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
- Thread starter
- #61
Salama wakuu........
Leo ngoja tumalize weekend kwa kibao kitamu cha Conjests toka kwao DDC Mlimani Park Orchestra wana Sikinde ngoma ya ukae..
Wimbo huu waimbaji wake ni Bennovill Anthony,Fresh Jumbe,Maalim Hamis Kinyasi na Fancis(baadaye Nassir) Lubua..Gitaa la solo lilipigwa na Kassim Mponda 'Bella Chance',gitaa la rhythm lilipigwa naye Abdallah Gama na gitaa la besi lilipigwa na Julius Mzeru.Drums zilikung'utwa na Said Chipelembe,Tumba zilipigwa na Ally Jamwaka,Trumphet zilipulizwa nao Machaku Salum na Ally Yahaya,Saxaphone zilipulizwa na Shaban Lendi,Joseph Bernard na Juma Hassan Town...........
Wimbo unaanza hivi:
Benovilla Anthony: Nimetembea pande nyingi za dunia,mashariki na magharibi jamani eeh,nikatafuta mpenzi mwenye busara ili kujenga
mapenzi ya kweli,
Nimetembea pande nyingi za dunia,mashariki na magharibi jamani eeh,nikatafuta mpenzi mwenye busara ili kujenga
mapenzi ya kweli.
Benovilla Anthony: Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa,
Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa.
aaaaaaaaah Conjesta sitapenda mwingine tena eeeeehhhhhhh.
Na sasa kwako mpenzi,nimefika ukingoni eeeh,sitegemei kupenda mwingine tena zaidi yako weee Conjestaaaaa,

Kiitikio(wote): Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani,
Mtoto mwenye imani Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani.
Fresh Jumbe: Mapenzi mazito sioni mwingine wala sisikii la yeyote yule ila ni wewe,
Mtoto mwenye imani(ooooh mama ooooh Conje),Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani,
Mapenzi mazito sioni mwingine wala sisikii la yeyote yule ila ni wewe,
Mtoto mwenye imani(ooooh mama ooooh Conje),Conjesta nimeamua kukupenda wewe pekee duniani.
Francis Lubua: Macho yangu na masikio yangu,mawazo yangu ypte ni kwako weeeee....