Enzi hizo: Kitabu cha kusoma kwa hatua

Enzi hizo: Kitabu cha kusoma kwa hatua

Siku hizi mashuleni wanatumia vitabu vya udaku tu.

attachment.php
 
kila kitu kinabadilika kutokana na wakati na mazingira tofautisha zaman na sasa kubadlka n mojawapo ya sifa ya fasihi ili kukidhi mahitaji y jamii
 
kwa nini mnaliza watu humu...nimejikuta kama najiona nimekaa darasani drs la kwanza..hizo memory zimenitoa machozi....back memories
 
1.ahadi za mwanatanu
2.kibanga ampiga mkoloni
3.siku ya gulio katelelo
4.heri mimi sijasema
5.kambi ya kaboya.
vingine mtaongezea wakuu.
6.Nondo mla watu
7. Kula mno ni hasara
8.Manenge na Mandawa
9............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom