donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
mkuu kigov. govt. kushea ni sana 2 aisee, ni socialism mwanzo mwisho.Mlikuwa mnashare..mbona ilikuwa hatari..na wenye ugonjwa wa ngozi khaa.
Mlikuwa mnashare..mbona ilikuwa hatari..na wenye ugonjwa wa ngozi khaa.
Ingekua Tosamaganga ingeisha siku moja....kuna great masturbators pale...View attachment 128339
Haya masoap yalikua makubwa balaa, nakumbuka wakati nipo Ndanda Boys pale advance kuna jamaa alikua anakuja nayo ya kutosha basi akiliweka moja bafuni mnatumia dom zima hadi linaisha yaani anaweka jngine.
hahaha hapo alisoma comrade wangu mmoja anaitwa PAP2Ingekua Tosamaganga ingeisha siku moja....kuna great masturbators pale...
hApo sasa, inaelekea huyu mkuu hakusoma boarding zetu zileHayo ndo mambo ya boarding.mtu wanakuibia chupi unashangaa kushare sabuni..
Hadi madogo walikua na chama chao... muulize atathibitisha hilihahaha hapo alisoma comrade wangu mmoja anaitwa PAP2
hApo sasa, inaelekea huyu mkuu hakusoma boarding zetu zile
hahah ntamuuliza mkuu ila sisi tulisoma na jamaa anaitwa Gatusso alikua anapiga puli kwa steel wireHadi madogo walikua na chama chao... muulize atathibitisha hili
Hadi madogo walikua na chama chao... muulize atathibitisha hili
Hayo ndo mambo ya boarding.mtu wanakuibia chupi unashangaa kushare sabuni..
Nilishawahi ibiwa mzuka wangu...
Ndio hicho mkuu... CHAPUTO, walikua wanachangishana hela ya kununua lotion na za kwenda kukodi mikanda ya x town...maana usiku tv ilikua inawashwa after prepsHicho chama si ndiyo CHAPUTA? chama maarufu sana hiki
Hahahaaa..... haiwezkan.... huyo alikua robothahah ntamuuliza mkuu ila sisi tulisoma na jamaa anaitwa Gatusso alikua anapiga puli kwa steel wire
hahah hapana mkuu alikua binadamu sema jamaa alikua sugu balaaHahahaaa..... haiwezkan.... huyo alikua robot
Au ndo huyo alikua black lakini watu walikua wanamwita white kumbe eti sababu ni dudu imekua white sababu ya masturbtn...mi nlikua namskia tuhahah hapana mkuu alikua binadamu sema jamaa alikua sugu balaa
Boarding bwana..uji bila sukari ni mchemsho wa sembe na maji..
Duuuh! Zito nae alisoma hapo....... ndo maana haoi nini.Ingekua Tosamaganga ingeisha siku moja....kuna great masturbators pale...