Enyi wanawake, hebu tuweni wastaarabu!

Enyi wanawake, hebu tuweni wastaarabu!

Ila dalili za watu hawa huwa tunaziona hata kabla ya ndoa ila tunajidanganya ni upepo ukishamuoa atabadilika.

Yani kitu kidogo anakifanya kesi kubwaaa...we have seen them na bado tukawaoa, tusishangae wakiendeleza libeneke ndani ya nyumba!
Unajua baadhi wanapokuwa nje wanaficha makucha, lakini wakishaingia ndani, mziki unakuwa mnene!
 
kuliko kufanya hivyo bora nikapigane na ukuta.. nikujidhalilisha huko ... am too classic aisee huko ni kujieleleza. sababu kama hakupendi hakupendi tu hata upigane na wanawake wote duniani .
 
miss chagga, mi nikagundua kuwa mmw wake anampenda na ndo maana hakuthubutu kuongea neno hata moja, alichokuwa anafanya pale ni kumdhalilisha mme wake na isitoshe alikuwa ameambiwa tu wala hakuthibitisha kama ni kweli. Vilevile pia alimdhalilisha mwanamke mwenzie kwa kitendo alichofanya.
 
hapana mwanaume lijali huwa ajibizani na mwanamke hasa mbele ya kadamnasi unaweza kuta nyumbani alimzengua na hata kumfukuza...... ukimkuta mume na mchepuko just make sure anakuona halafu ondoka kama vile hujali aisee itamuumiza sababu wanapenda kuonewa wivu.. ila usijishushe mbele za watu ... ooh no huwa namwambia yani nipo next level siwezi jibizana na mtu asiyekuwa wa level yangu hata siku moja
 
Mi nimejifunza, unajua wakati mwingine na elimu huchangia mambo haya
 
Huna akili.
Muulize adam au samson.
Achilia mbali hao roho ziliongamia ndan ya titanic.
Sembuse hako kaofis ka kichina na tualuminium twa elfu 80. Na ka a/c ka kwa majembe.
UNYAMAZE USIZUNGUMZE MAPENZ UKALINGANISHA NA UPUUZ MWINGNE.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ndio umeenda kufanya tukio nn
 
Ila dalili za watu hawa huwa tunaziona hata kabla ya ndoa ila tunajidanganya ni upepo ukishamuoa atabadilika.

Yani kitu kidogo anakifanya kesi kubwaaa...we have seen them na bado tukawaoa, tusishangae wakiendeleza libeneke ndani ya nyumba!

Mara nyingi unakuta wana "faida" kubwa zaidi ya hasara. Mara nyingine tunanogewa na kuzidiwa na ufundi, wanaita poosey whipped.
 
Huna akili.
Muulize adam au samson.
Achilia mbali hao roho ziliongamia ndan ya titanic.
Sembuse hako kaofis ka kichina na tualuminium twa elfu 80. Na ka a/c ka kwa majembe.
UNYAMAZE USIZUNGUMZE MAPENZ UKALINGANISHA NA UPUUZ MWINGNE.
c7138f72a0052be6bb276e4d046eeed0.jpg
 
Back
Top Bottom