The Best Of All Time
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,215
- 7,631
- Thread starter
- #21
Asilimia kubwa atakutana na mwanaume wa aina yako .Dah kale kabinti kangu ninavyokapenda inaniwazisha sana
Asilimia kubwa atakutana na mwanaume wa aina yako .Dah kale kabinti kangu ninavyokapenda inaniwazisha sana
Kuna wengine uanaume umezidi mpaka hatuna na hatutakuja kuwa na mabinti.Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.
Nimemaliza.
Ukweli unaoumiza.