Enyi mliooa, mlipataje wake?

Umenichekesha sana ndugu yangu!!!!!
 
Ha ha ha ha ha,ishi kwa tabia yako/maisha yako halisi utampata tu wakuendana na wewe,inawezekana eneo unalofanyia kazi au sehemu yoyote ile.
 
Dah hili ni janga letu sote mkuu
kwakweli mwenyewe natamani sana kuoa lakin sijui nafanyaje maana hata niliyemtegemea kanizingua jamn tusaidien tunapataje mke bora sisi ambao bado maana mpk mitandaon humu jf natafuta lkn akuna hata anaejib
 
Kwa maelezo yako nimegundua ni bange ndio iliofanya umuoe huyu mkeo.
 
mke hatafutwi kwa kufanya window shoping,tulia saa ikifika utampata
 
umekuwa CIA ......duuuuh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…