Enya.

Enya.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,000
kama huwa anaangalia kipindi cha misiba TBC. utakuwa umemsikia huyu maza. Ni moja ya wasanii wa ireland waliouza sana.
 
huyu mwanamama nilianza kuskia nyimbo zake toka enzi za 1990's,nyimbo zake zimekaa kimajonzi mf ile ya"may it be" ambayo imetumika kama soundtrack ya filamu ya lord of rings...nyingne kali ni kama ile storm in africa,flora's secret,one by one!,dah kwel old z gold!

Jamaa yangu aliitwa Khalfan hakuwa anajua kizungu ila aliimba storm in africa utadhan msomi flan kumbe magilini tuu!
 
hiyo soundtrack ndiyo ilisababisha nimjue .

Back
Top Bottom