Environmental engineering au....... !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Environmental engineering au....... !!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sir.Chemi, Jun 18, 2012.

 1. S

  Sir.Chemi Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani nisaidieni eti kati ya kozi ya environmental engineering na land management and valuation ipi inalipa,na uwezekano wa kupata ajira serikarini?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Piga land valuation dogo,hiyo env engineering utasugua benchi hadi yesu arudi.
   
 3. S

  Sir.Chemi Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa best lakini vipi hiyo land ina soko au nitasota mtaani kwanza?
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye halmashaur yoyote ukajionee jns watu wa ardhi wanavopiga pesa kijana.
   
 5. S

  Sir.Chemi Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh huwezi amini nimekuta zote ziko 'not eligible' wakati ijumaa zilikuwa 'eligible' mi nimeamua kuziacha hivyo hivyo labda watanibadilishia kwasababu nimequalify zote
   
 6. S

  Sir.Chemi Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh huwezi amini nimekuta zote ziko 'not eligible' wakati ijumaa zilikuwa 'eligible' mi nimeamua kuziacha hivyo hivyo labda watanibadilishia kwasababu nimequalify zote
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  yani zote 8 au?
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Elimu toka lini ikalipa? labda uwe mwizi utapoajiriwa. Kinacholipa ni biashara tu, kama unabisha muulize Bakhresa.

  Ikiwa unaingia kwenye elimu ili ikulipe kimapato (materialistic) unajisumbuwa kusoma. Elimu inalipa sana. Kwa "inner satisfaction" na kuwa na michango ya maana kwa walimwengu kiasi cha kuwahudumia wengi na kuwafanya maisha yao yawe mazuri zaidi na sio kama unavyofikiria wewe.
   
 9. S

  Sir.Chemi Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana nilijaza 6 tu ila hizi ndizo zilikuwa za 2 na 3 zimegoma. ya kwanza ni BVM na nyingine zilizobaki 3 ziko eligible.
   
 10. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umesoma comb gan na umepga ngapi?
   
 11. S

  Sir.Chemi Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimesoma PCB nimepata 3 ya 14 phys-S,chem-C,bio-E
   
 12. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  apo tupia BVM wanakuchukua! hizo unazotaka wewe sina uhusiano na geography ambayo wewe huna!
   
 13. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sometimes Zomba sio Zombi
   
Loading...