zethumb
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 610
- 137
Jamani naomba kuuliza maana nimekuwa kwenye msoto kwa takriban mwaka na ushee bila kazi ya kuaminika ila MUNGU wetu ni mwema SECRETARIAT wakaona ninafaa wakanipa kazi ya utendaji kata...Nawashukuru pia JF kwa kutupa moyo majobless kwa mda wote....
Hivyo basi; Nikiwa nimeajiriwa/place of recruitment ni Dar nimepelekwa RUNGWE Mbeya kama mtendaji ntalipwa nini na kwa kiasi gani kama mwajiriwa mpya?
Nawasilisha...:A S cry:
Hivyo basi; Nikiwa nimeajiriwa/place of recruitment ni Dar nimepelekwa RUNGWE Mbeya kama mtendaji ntalipwa nini na kwa kiasi gani kama mwajiriwa mpya?
Nawasilisha...:A S cry: