Mukundumbusya
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 168
- 142
Salamu ndugu na jamaa.
Nimepatwa na shida ambayo sielewi kwenye machine yangu Desk Top ya Dell na monitor yake ni Dell. Mchana huu naiwasha inaniambia ENTERING POWER SAVE MODE na baada ya sekunde chache kioo kinarudi kuwa cheusi bila maandishi.
Naomba msaada jinsi ya kutoka hapa nlikwama.
Natanguliza shukurani.