Enrique Iglesias

Enrique Iglesias _ don't you forget about me


Kwa waliopata breakup kwenye mahusiano, bonge moja la song hilo
 
1. anza na king wao kabisa Justin bieber, mwisho wa hii video anatapika na mziki unaendelea

2. then queen wake selena Gomez
sekunde ya 59 hapo.

3. wengine wengi kina beyonce, Lady gaga, Ariana, Mariah carey etc.

youtube tu lip sync fails zitakuja za kutosha.
 
Taja sasa hao wanaopafomu bila msaada wa vyombo vya muziki
 
Fundi sanaa huyoo jamaaa

Ila anasura ya kimpira sana yani angefaa sana acheze nafasi ya kiungo kama farbegas
Hujakosea kabisa, ila Baba yake ambaye ni Julio Iglesias alikuwa mchezaji wa Real Madrid Castilla nafasi ya GK
 
hebu nioneshe cover nzuri za chandelier kumshinda Sia?
 
Ndani ya dakika 3?!! Give me a break!!
 
My list
1-EnriQue
2-Ne-yo
3-J-Timberlake
4-Adam Levine
5- Guess what...! Michael Jackson.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…