Enough with Siasa...sasa tunaoa wa Japani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enough with Siasa...sasa tunaoa wa Japani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Feb 16, 2010.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Naam
  huyu Braza hapa chini keshaonyesha njia

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Tushapiga sana mikelele wengine wameamua kunyuti wengine JF imekuwa kama therapy na wengine bado wanaendelea kumwaga mijidata

  Labda kama tunataka kuwa pressure group na tunataka real changes...then siku Invisible badili front page yote kisha bandika ONLINE PETITION kama 10 hivi ili watu wajaze for like 24 hrs then rudisha normal forums page

  Ohh btw ndugu zetu wengine wameamua kuoa Wa jAPANI...safi sana na kama wengine mshaoa then si vibaya mkafanya MITHNA maana mafisadi bado wanapeta sasa hauwezi kuwazuia basi hata kuongeza wake nako tushindwe?

  [​IMG]
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Labda kama umeshaona ulazima wa kuoa na umeshaoa, vinginevyo huna moral high ground kuandika watu waoe achia mbali mathna.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  Wtf?
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nikasema kuwa waliooa wanaweza fanya MITHNA!!
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hongera zake
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huna moral authority.... wajua ndoa ya akhi
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  sasa akhui haya ya moral authority yanatoka wapi?
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hapo hapo kwenye lead post ya thread hii atii, vipi Comoro ulitoka kapa au ulivuta kitu?
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,421
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  Best nendeni kule kyaka Bukoba kuna wachina watoto waloachwa wakati wa kutengeneza barabara ya lami na wachina walizaa na kinamama wa kihaya. Hao watoto wanauza ''gonja'' (ndizi za kuchoma) best wanaongea Kihaya dunia nzima hata kiswahili hawajui. So acha wajapani waolewe tu!
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Sheikh kule kumekuwa Big dissapointment kwanza zile nzuma Enhe! shurti uwe wajua Ki Faransa, kule kwingine wanataka Hafidh..aliyebobea na kama ukisema jambo basi wanataka kujua kila kitu including ISNADI zote

  wale waliopo Bongo wako obsessed with degrees na C.V

  Unless uko willing kuleta ideas mbali mbali
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Subra subra akhui. Nenda Bukoba, kuna watoto mchanganyiko wa kihaya na kichina, hawajui hata kiswahili, unavuta na mould inatoka kitu na box. Kupika chapati na wali nazi haitakuwa kwere.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Akhui BK noma si unajua tena sie wengine wabovu wabovu wa mambo ya lahaja na twapenda wavae maDera...na bila kusahau wajue pika vyakula vyetu vya kimwambao...ohh si haba kama akijua nyimbo mbili tatu za Abbas Mzee kama vile WANUNIA NINI na HARUSI

  ohhh si vibaya awe keshachezwa

  BK sheikh hupati mambo hayo...kule wana mambo ya KiDHUNGU sana wale
   
 14. p

  p53 JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  big up bro..kitu mwake
   
 15. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sheikh nia nia.....hujanuia bado. Kila pahala wapatolea sababu.

  Haya nenda Tanga, Usagara karibu na CIC quarters - kuna watoto mashaallah, wallah Mwenyezi Mungu kawajaalia, ni wa dera na baibui, wa udi na majasmini, sasa hizo nyimbo za Akina Abbas Mzee and more ndio kwao pale. Kwenye mahanjam hawako nyuma....

  Watoto wa mji Mkongwe au michenzani Unguja sikushauri.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,889
  Likes Received: 9,493
  Trophy Points: 280
  Wabongo wengine bwana, katika mambo yote wewe umeona "kuongeza" wake ndiyo issue?

  Halafu huyo Fred Astaire mweusi umemtoa wapi?
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu umemtoa wapi GT? Angalia asije kukupeleka mbele ya sheria kwa kutoa picha yake hadharani. Au ni wewe nini mkuu umeamua kuchanganya mbegu?
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,581
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ........Kuoa/kuolewa na race nyingine wala si ajabu siku hizi, wote ni binadamu na tabia na maumbile ni yale yale.
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,734
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  ...ila Mila na desturi tu zinatofautiana, au sio? :D
   
 20. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hebu kuwa specific basiiii

  wot about kule Ahlul Bait?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...