Enough with Siasa...sasa tunaoa wa Japani

Huyu mtu umemtoa wapi GT? Angalia asije kukupeleka mbele ya sheria kwa kutoa picha yake hadharani. Au ni wewe nini mkuu umeamua kuchanganya mbegu?

Ndahani,

Wee ni mbaguzi nini? Hatusemi kuchanganya mbegu maana inakuwa kama vile jamaa kafanya jambo baya.

Mshenzi huyu alifaidi/anafaidi maana mwanamke jicho, na amelitoa utafikiri ndiyo siku ya mwisho kulitowa. Wee muowaji hongera zako kijana. Nimekuwa na usongo na hao Vimacho (uwii, mie si mbaguzi) kwa miaka mingi ila naona nimetoka kapa/mweupe na nimeshaamuwa kuula wa chuya.

Ndahani, kijana akishafaidi basi baada ya miezi TISA, hatusemi kachanganya mbegu ila tunasema kijana KASAFISHA NGOZI.

AmaniGK unaona mfano huo? Wee hangaika tu na akina Frida. Ila hawa Wajapan/Asia kwa wale wapenzi wa Taarabu, naona itakuwa shida sana. Maana mambo ni Kipe.... Kipengule maa'ngu.

NB: GT, mbona huandiki ulikotoa picha? Mme haki yake Michuzi:
http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/dogatis-na-mari-wameremeta-osaka.html#comments
 
Back
Top Bottom