Enough is enough maskini moyo wangu

Enough is enough maskini moyo wangu

Umewasaka kooote huko umechemka umeamua kuja na huku kujitangaza???
 
Mi nakushauri kitu kimoja, nisikilize kwa makini kabisa, " KWAKUWA UMEZINGULIA NA BWANAKO MMOJA USITUCHIKIE WANAUME WOTE, LABDA HAIKUPANGWA IWE HIVO LABDA ILIKUPASA TU UPITIE HILO ILI LIWE FUNZO KWAKO, CHONDECHONDE WANAUME WOTE HATUKO HIVO" ni pm, am a shoulder to cry on!!
 
Faraja ya kwel ni ile inayotoka kihisia....

Hakuna faraja pasipokuwepo na tatizo....
Na hakuna tatizo pasipokuwepo na matendo .....

Ni wale tu amabao hawafany kitu chochote katika hii dunia ndio hawapatw na matatizo...

Relax... it always happen...
Mistake yako ni kuvuta kamba iliyolegea pasi unajua kuwa una harala ya kufika....

Usikimbilie mmbali utachoshwa ukifikiria kurud.... njoo inbox hapa upate liwazo la roho... faraja ya nafsi na furaha ya moyo....
 
Hi wakuu!
Niende moja kwa moja to the point

Mwanzo nilimsumbua sana hadi kuja kunipata, baada ya kuwa pamoja nikazama mzima mzima binti wa watu, dah Nishamuweka moyoni, i loved him every moment.

ghafla kachange toka last year mawasiliano yakapungua of coz tunaishi mbali mbali after two month or one ndo kuonana.
tumeenda had two days ago kaanzisha kiugonvi kisichokuwa na kichwa wala miguu.
nikahisi naonewa nikamjibu it was nice known you. maisha mema. Akajibu utanikumbuka sana

Ni wengi wanaonipenda lakini siko na feeling na hata mmoja wao.. ninakopenda sipendwi.

Nimeamua kugive up na kumuv on sasa. nimefuta namba zake na block kila sehemu.
Roho inauma sana of coz bado nampenda leo na kesho lakini simuhitaji tena

em ukisoma hapa nipe japo neno la kunifariji maana siyo kwa maumivu haya

ukitukana pia poa tu.

MKUU,

WEKA PICHA KWANZA TAFADHALI.
 
hapana nashukuru sijawahi kuumizwa am happy with him ila tuuu "long distance relationship is killing me"
hii kitu inasumbua sana inahitaji moyo nakupunguza wivu pia ukiwa na wivu ulopitiliza wafwa ,Mm mwenyewe ni muhanga wa hii ishu but naomba sana mungu anisaidie
 
Back
Top Bottom