gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Ur just like my girl,
Ooooh poleee sana kaza moyo hata mm mpenzi wangu alinitesa sana but after give up niko poa nawewe kama vp mpotezee tu japo ni vigumu...,Hi wakuu!
Niende moja kwa moja to the point
Mwanzo nilimsumbua sana hadi kuja kunipata, baada ya kuwa pamoja nikazama mzima mzima binti wa watu, dah Nishamuweka moyoni, i loved him every moment.
ghafla kachange toka last year mawasiliano yakapungua of coz tunaishi mbali mbali after two month or one ndo kuonana.
tumeenda had two days ago kaanzisha kiugonvi kisichokuwa na kichwa wala miguu.
nikahisi naonewa nikamjibu it was nice known you. maisha mema. Akajibu utanikumbuka sana
Ni wengi wanaonipenda lakini siko na feeling na hata mmoja wao.. ninakopenda sipendwi.
Nimeamua kugive up na kumuv on sasa. nimefuta namba zake na block kila sehemu.
Roho inauma sana of coz bado nampenda leo na kesho lakini simuhitaji tena
em ukisoma hapa nipe japo neno la kunifariji maana siyo kwa maumivu haya
ukitukana pia poa tu.
Aisee..kumbe ndo mnavyoshaurianagapole bby hakikisha wakati mwingine unakuwa na wasaidizi
Hata nyie mmetupangaAisee..kumbe ndo mnavyoshaurianaga
Vp na ww mhanga mtarajiwa?haya maneno yameniuma wacha niyamezeee
Hujambo mrembo?Pole sana, usi mbloku na wewe. Ile kumuona ona ona itakufanya umuone wa kawaida pia utazowea haraka.
Hio comment ni yako jirani..!?🙁Aiseee jiunge chama cha mabwege
Hio comment ni yako jirani..!?🙁