Teh teh teh!hii itakuwa kibera nchini Kenya!
Toba mkuu saudari umeshaiharibu week end yangu!View attachment 86994 Blue G umependeza.
Mkuu Safari_ni_Safari unanikumbusha yale magari ya zamani yaliyokuwa yanawashwa na henderi kwa nyuma!
Bujibuji una ugomvi na Safari_ni_Safari..? njoo uone huku picha yako alivyoibandika hapa kila mwenye macho aone.. Halafu hukuwa na Paloma sasa.. sijui nani huyu...
Mkuu kwani masai wa Kenya na Tanzania wanatofautiana nini zaidi ya location?
Bujibuji una ugomvi na Safari_ni_Safari..? njoo uone huku picha yako alivyoibandika hapa kila mwenye macho aone.. Halafu hukuwa na Paloma sasa.. sijui nani huyu...
Hili sufuria inaonekana ni la kupikia nyama na hiyo nyama vipande vinahesabiwa ili visidokolewe lina pigwa kufuli ili isiibiweKaribu twala.[/COLOR]
kidijitali zaidi
kidijitali zaidi