Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

Kuhusu mkongojo Sidhan kama ni kweli.

unahisi unaweza kulombana na wanawake 5 kwa siku moja?.
bro hautawatendea haki.
kila mmoja anajua nime mset nikipata nafasi nitaenda maana nipo busy, so ni ikipita nakuwa nawapa masaa mawili nitapochokea ndio hapo hapo naishia kituo cha mwisho , sio lazima kuwamaliza hata nikipata kwa watatu au wawili sio mbaya au watao baki kesho
 
Ujana una meng na ndio unaweza kufanya mambo kadha wa kadha na hata ukifeli bado unapata muda wa kurekebisha.
Nguvu ya Mwili na hamasa ya kupambana iko juu. Hoja yangu ya kuwekeza nimefikiria kwa minajiri hii.

Ukijijenga Ujanani, uzeen unakuwa hauna stress.
Hata bongo wastaafu waliojipata ujanan wanaishi bila tabu. Ila hawana ile nguvu na hamasa kama kijana aliyejipata.
HUjanielewa mkuu. Nmesema nadharia yako ime-base zaidi Tanzania au niseme nchi za dunia ya tatu. Nikakuambia nchi zilizoendelea, vijana ndiyo wana majukumu zaidi na hawana muda kula raha kwa kiwango cha juu. Ila wastaafu wana maisha mazuri na hawana majukumu mengi. Wewe unazungumzia kuwekeza, majuu haya mambo hayapo sana. Mtu akistaafu anaishi kwa pension yake na hana ndugu wala jamaa wa kumsumbua. Majuu watu wanalilia kustaafu wakati sisi tunajaribu kuongeza miaka ya kazi kadiri iwekavyo. Contradiction yako kwenye hili jambo ni kusema kijana a-enjoy maisha na hapo hapo awekeze. Bila shaka unalenga kwenye kijana kupata fedha nyingi za mkupuo, kiasi ambacho ana-enjoy to the maximum huku akiwekeza eg kina Makonda, Mcherengwa. #ufisadi na uuaji.
 
Umri wa ujana ni muda wa kuwekeza kwenye maarifa na pesa. Sio kufanya starehe.

Kuenjoy Maisha sio Kufanya Starehe.
unawekeza na unaenjoy Maisha.

Kesho yako hauijui. Enjoy while you Can.

Wahenga walisema Vunja mifupa ingali meno iko.
 
Hiki ndicho mwanzisha thread anachomaanisha na ndiyo mawazo ya vijana wengi wa Bongo. Ni mawazo tuliojenga kutokana na mazingira tuliyokulia. Ngono, sehemu za starehe, kukoga wenzako kwa maisha ya juu.
mawazo yangu hayakufungwa na hayo tu. Ila niliwaza muda upi ni sahihi kujitafuta na kujipata na kufurahia Uhai na nguvu tulizonazo.

Bila shaka ni muda wa Ujana.
Ukiishapita muda huu. Huko mbelen 50's hata kama umejipata , huwez kuwa na nguvu za Kijana.

Nguvu ninayomaanisha sio tu ya Kufanya anasa. Ila hata Nguvu za mwili zinapungua. Kuna vitu hutaweza kufanya.

kwahiyo wakat mwili uko na uwezo wa kufanya hivyo vitu. Ni bora ukafanya. Ndio haswaa hoja yangu
 
Unachanganya wadau 😊😊😊😊.

Hizo emoj wanatumia Wadada. Alaf hapa umesema leo una ratiba ya kula Jagina za mishangazi
madogo humu jana niliwazingua kuonesha namna gani wanapigwa na wadada feki PM huwezi amini waliamini mie ni she, na wakati siku zote humu najulikana ni dume 😅😅 watakuja okotzwaa kifala sanaa wanashindwaa kaa rada
 
madogo humu jana niliwazingua kuonesha namna gani wanapigwa na wadada feki PM huwezi amini waliamini mie ni she, na wakati siku zote humu najulikana ni dume 😅😅 watakuja okotzwaa kifala sanaa wanashindwaa kaa rada
Kwahiyo ulipata PM kadhaa au?.
 
Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.

Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.

Ni muda wa Ujana , kabla haujawa na majukumu mengi ya kukukaba na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.

Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu ni umri wenye nguvu nying, uhuru wa kujaribu mambo mapya mara kwa mara, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.

Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.

Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.

Nimewaza haya coz naona jinsi umri wangu unavyosogea , majukumu yanaongezeka, hamasa ya kuenjoy maisha inapungua, kuna vitu nilikuwa navipa vipaumbele enzi za Ujana ila kwa sasa navipuuzia.

Kwahiyo . Kama ukipata nafas . Na ukiwa Kijana. Enjoy maisha yako. Hayajirudii tena. Yakienda yameenda.
Yatakukuta
 
Back
Top Bottom