Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

madogo humu jana niliwazingua kuonesha namna gani wanapigwa na wadada feki PM huwezi amini waliamini mie ni she, na wakati siku zote humu najulikana ni dume 😅😅 watakuja okotzwaa kifala sanaa wanashindwaa kaa rada
Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea.
Mwanaume kamili hata siku moja hawezi kujifanya mwanamke ili ku prove kitu.

Kuna namna beki hazielewani.
 
Hauwezi kuwa na vitu vitatu kwa wakati mmoja
1. Time
2. Energy
3. Money

Ujana unaweza kuwa na time na energy ila hela kidogo na ukijifanya uwe na hela nyingi basi time inapungua.

Umri wa kati/ukomavu unakua na energy na money ila muda hakuna wa kuzitumia kwa ajili yako.

Uzeeni una money na time ila energy ishasepa kitambo.
So namna pekee ya kuenjoy ujana wako ni kujenga afya na msingi imara wa kiuchumi hivi viru viwili vitakupa time na enjoyment kipindi cha ukomavu na energy kipindi cha uzee.

Vijana starehe sio kufanya ngono na kunywa pombe nyingi. Starehe zipo nyingi sana duniani. Ila nchi zetu maskini zinaona starehe pekee ni kuumiza viungo vya uzazi na kulewa.
..............................
'Ndiyo maana wahenga walisema: "tumia ujana kujenga afya, kwa sababu ndiyo rasilimali pekee isiyorudi tena baada ya kuiharibu — pesa na muda vinaweza kupatikana tena, afya ya mwili huzeeka tu."
 
Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.

Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.

Ni muda wa Ujana , kabla haujawa na majukumu mengi ya kukukaba na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.

Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu ni umri wenye nguvu nying, uhuru wa kujaribu mambo mapya mara kwa mara, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.

Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.

Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.

Nimewaza haya coz naona jinsi umri wangu unavyosogea , majukumu yanaongezeka, hamasa ya kuenjoy maisha inapungua, kuna vitu nilikuwa navipa vipaumbele enzi za Ujana ila kwa sasa navipuuzia.

Kwahiyo . Kama ukipata nafas . Na ukiwa Kijana. Enjoy maisha yako. Hayajirudii tena. Yakienda yameenda.

Unajua definition ya kuenjoy inatofautiana kutoka mtu mmoja kwenda mwingine
labda ungeandika ukisema ku enjoy unamaanisha nini kwako wewe....
Na kama vinategemea hela uangalie pia kama vijana wa umri huo watakuwa na hizo hela za ziada......wakati ndio wapo forcused kujenga msingi wa maisha...
 
Hauwezi kuwa na vitu vitatu kwa wakati mmoja
1. Time
2. Energy
3. Money

Ujana unaweza kuwa na time na energy ila hela kidogo na ukijifanya uwe na hela nyingi basi time inapungua.

Umri wa kati/ukomavu unakua na energy na money ila muda hakuna wa kuzitumia kwa ajili yako.

Uzeeni una money na time ila energy ishasepa kitambo.
So namna pekee ya kuenjoy ujana wako ni kujenga afya na msingi imara wa kiuchumi hivi viru viwili vitakupa time na enjoyment kipindi cha ukomavu na energy kipindi cha uzee.

Vijana starehe sio kufanya ngono na kunywa pombe nyingi. Starehe zipo nyingi sana duniani. Ila nchi zetu maskini zinaona starehe pekee ni kuumiza viungo vya uzazi na kulewa.
..............................
'Ndiyo maana wahenga walisema: "tumia ujana kujenga afya, kwa sababu ndiyo rasilimali pekee isiyorudi tena baada ya kuiharibu — pesa na muda vinaweza kupatikana tena, afya ya mwili huzeeka tu."
Kuanzia Leo. Ww ni ndugu Yangu.
Huu ni ukweli na uhalisia kabisa wa Maisha ya Mwanadamu.

Ujana ndio muda Pekee.
tuutumie vizur.
 
Unajua definition ya kuenjoy inatofautiana kutoka mtu mmoja kwenda mwingine
labda ungeandika ukisema ku enjoy unamaanisha nini kwako wewe....
Na kama vinategemea hela uangalie pia kama vijana wa umri huo watakuwa na hizo hela za ziada......wakati ndio wapo forcused kujenga msingi wa maisha...
Nakuelewa bro. Labda hujanielewa mimi vizur.

Uwe na hela au usiwe na hela kipind cha ujana.

Ukipotea ujana. Huko mbelen uwe na hela au usiwe na hela. Hauwez kuwa na nguvu , ari, ashki, hamasa kama ulivyokuwa kijana.

Na ndio Hoja Yangu.
So kwasababu tumetofautiana. Nimewakumbusha tu vijana.
Wafurahie ujana wao jinsi wanavyoweza. Hata kama hawana hela au wanazo.
Maana kuna muda. Hautaweza kuwa hivyo tena. Regardness una hela au hauna.

Na ndio maana nikasisitiza kujitafuta na kujipata ila pia usisahau kula ujana wako.
Na sio ngono, pombe wala anasa zingine pekee. Ujana una vitu vingi sana. Enjoy it...
 
Kimsingi kuenjoy ujanani sio suala la kumkumbusha mtu...
kwani linakuja automatically kama the rest of the factors are constant.....
 
Back
Top Bottom