Kuweni wakweliKama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Acha ubaguzi wewe kiumbeKama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Twende na Lisu sera mbadala 2020
English yakuwafundisha wenzako unaitambua?Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Kuweni wakweli
Mi ni Mtanzania ila Wakenya walivumilia kipindi kirefu sana,
Mnakhmbuka tulivyo choma vifaranga?
Mnakumbuka tulivyo taifisha ng'ombe?
Mnakumbuka tulivyo Mteka msomali mtoto wa tajili akiwa ndani ya Ardhi ya Kenya?
Tatizo nyie watu wasaulifu sana,