Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Mbona NMB hawana hiyo NMB Bank kwenye logo yao? Kwahiyo wao hawaathiriki kimatangazo?Neno Bank linaongezwa kibiashara. Ukisema Crdb au Tpb bila kuwa kuweka neno Bank inaathiri kimatangazo.
Kwa hiyo unakataa TPB sio kirefu cha Tanzania Postal Bank????Crdb Bank vipi? TPB haina kirefu Ni nembo ya biashara tu.
Soma hiyo picha hapo chini nilipo fanya highlightKwa TPB jinA la bank ni TPB kama ilivyo TPB na sio kirefu chake....
Hiyo inaitwa TPB Bank, sio Tanzania Postal Bank
Thanksmkuu unapoint, haya ndio manufaa ya JF,
Wanatuangusha sana MkuuWanaotuangusha Ni Wasomi
Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
Yees na huo ndio ufafanuzi sahihi hizo TPB,CRDB nk ni brand names za kibiashara sio acronyms.Makampuni mengi yamefanya 'rebranding' na kubadili majina ikiwemo kufupisha majina marefu kuwa mafupi kwasababu za kibiashara. Kwa TPB jinA la bank ni TPB kama ilivyo TPB na sio kirefu chake....kwahiyo ndio maana unaona TPB Bank, NMB Bank Plc, Crdb Bank plc, KCB Bank, KK security badala ya Kenya Kazi etc....kwahiyo wako sahihi kabisa.