English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,316
TPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa?

sds-limited-tanzania-office-branding-2-1024x724.jpg


TPB BENK.jpg


NB: NSSF nipeni fao langu la mkupuo. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
 
Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex.

Huo ni uhujumu usio na maana.
 
Makampuni mengi yamefanya 'rebranding' na kubadili majina ikiwemo kufupisha majina marefu kuwa mafupi kwasababu za kibiashara. Kwa TPB jina la bank ni TPB kama ilivyo TPB na sio kirefu chake. kwahiyo ndio maana unaona TPB Bank, NMB Bank Plc, Crdb Bank plc, KCB Bank, KK security badala ya Kenya Kazi etc. Kwahiyo wako sahihi kabisa.
 
Ni maagizo toka juu,hilo nalo sifieni kama kawaida yenu.
Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
 
Makampuni mengi yamefanya 'rebranding' na kubadili majina ikiwemo kufupisha majina marefu kuwa mafupi kwasababu za kibiashara. Kwa TPB jinA la bank ni TPB kama ilivyo TPB na sio kirefu chake....kwahiyo ndio maana unaona TPB Bank, NMB Bank Plc, Crdb Bank plc, KCB Bank, KK security badala ya Kenya Kazi etc....kwahiyo wako sahihi kabisa.
Yees na huo ndio ufafanuzi sahihi hizo TPB,CRDB nk ni brand names za kibiashara sio acronyms.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom