Engineer Soma hiyooooooooo!

Engineer Soma hiyooooooooo!

Naomba baby nikushike mikono
Nikuenzi penzi letu lisifike kikomo na pia
Naomba basi uisitishe migomo nnapokuomba tugusishe midomo....kiss! Mwaa!

Eti kisa wewe msichana kifaaa
Ndiyo unifanye nionekane kichaaa chizi kabisaaaa
Sitaki kuonekana bwana kinyaaa
Nione noma hata kupita kitaaa
Pliz baby bhaaaas

Mi nilidhani utanipenda tuu mpaka bhaas
Hadi pale mwili wangu utakapo iacha nafsi
Kumbe lengo unitese niwe vagrant
Mpaka Machiizi wananiuliza vipi kaka raasi
Siijiibu nabaki macho juu
Akili ishatekwa na mawazo juu yako duu!
Ubongo ume' stuck, michongo ime' stuck,,,natamani nikagonge hata nyasi

Hakika hii hali
Sikuwa tayari kuikubali
Ila sasa nakiri penzi ni tamu kuliko asali
Kwako nilisha data
Ila sasa mapenzi yanavyokwenda nazidi kuwa na mashaka
Over one year, call you my dear
Kumbe wewe kwangu ndo huna hata idea
Naonekena limbukeni wa mapenzi kuishi tena bila wewe siwezi...dahh!
 
Hivi amekulipa au[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ndani kipande cha mti
Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF

Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku

Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu

Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri

SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
 
Back
Top Bottom