Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Hivi wewe sijakuliza eehh...Naomba unilize mchepuko wangu wa milele
Hogopi wanawake wa jf wewe mchepuko wangu
Hivi wewe sijakuliza eehh...Naomba unilize mchepuko wangu wa milele
We Cheka tuu...
Hahaha hahahaUmekuwa kakorofi siku hizi.
Hahaha hahaha
Ni leo tuu jamani auntie
Hahaha hahahaWanawake wa jf mna balaa sana.
Hahaha hahaha
Halafu ukiona mhenga kaandika jua kapatwa! Mie wakiandika hawa watoto huwa napita kimya kimya
Hahaha hahahahaHahahaaa!! Mhenga kaoa mwanamke wa jf kisha akachupukiwa. Inauma sana aisee.
Hivi huo uzi wa mbinu za kuchepuka uko wapi?
Siogopi mwanamke yeyote yule...Hivi wewe sijakuliza eehh...
Hogopi wanawake wa jf wewe mchepuko wangu
KhaaaaSiogopi mwanamke yeyote yule...
wewe wa mkoa wewe....somaaaaNaomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa!
Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli wa bandarini uhuni wote matusi yote wanayajua na mbinu zote za uchepukaji wanajua!Na ukiona mwanaume ajui JF ujue huyo mambo mengi ya kidunia.
Nimesema haya baada yakuona vijana akiona Avatar nzuri anazama PM utauwawa bure!
Engineeer Soma Hiyooooooooooo!!!!!!!
Hebu subiri kwanza, hapa uko upande wa nani?Hawezi kukuacha bwanaaa.....
Au ulimuumizaaa eeehh
Hapana, mnaruhusiwa kusoma tu.
Hahaha hahaha hahahaHebu subiri kwanza, hapa uko upande wa nani?
Hahaha hahaha hahaha
Upande wako jamani