Engineer Soma hiyooooooooo!

Engineer Soma hiyooooooooo!

Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF

Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku

Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu

Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri

SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wanawake wa JF ndio hao hao wa kitaa. Sasa sijui mkija huku mnakauwa malaika[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom