Engineer Soma hiyooooooooo!

Engineer Soma hiyooooooooo!

Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF

Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku

Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu

Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri

SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
@joanah huu ni uongo uliotukuka
naomba uwatake radhi wanawake wote wa jf kwa kuwasingizia kua wanajielewa na pia wametulia.

Maendeleo hayana chama
 
Write your reply... ni kweli kabisa ni hatar sana wa humu ukiachana na simba na single mothers wao wanaongoza kwa ukali.......... sent by my tecno amber rutty using jamiiforums
 
Hao vijana wanozama PM umewaonea wapi wakati PM hata Mero mwenyewe hajui kinachoendelea

mwanza
 
Back
Top Bottom