Engineer na Boss wa wizara ya Ujenzi aua mkewe

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,780
5,300
Habari wadau wa HHM,

Mmoja wa Kigogo wa wizara ya ujenzi anayejulikana kwa Jina la Engineer Mxxxx(Jina kapuni uchunguzi unaendela) aua mkewe na kutokomea pasipo julikana chanzo kinadaiwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo la mauaji limetokea usiku wa kuamkia jana.

Chanzo chetu cha habari kinasema kwamba Engineer huyo alikuta messages za mapenzi kutoka kwa mkewe zikiwa zimetoka kwa mwanamme mwingine, marehemu alijitetea kwamba hizo message sio zake ni za mdogo wake huwa anatumia simu yake lakini Engineer hakumuelewa alimtembezea kichapo hadi kuzima, Kigogo huyo alivyoona mkewe kazima aliondoka na baaadae alifatilia na kujua kwamba mkewe alifariki ndipo alipokimbia moja kwa moja mpaka sasa hajulikani alipo.
 
Mapenz ni kitu ingine. Watu wamepitia mengi kwenye mahusiano ndio maana unakuta wanafanya maamuz ya ajabu sana mtu akigundua kuna usaliti
 
Ukiiangalia kwa mtazamo utakuwa unakosea sana. Sidhani kama mtu anafikia hatua ya kuua kwasababu hiyo. Kuna mambo mengi sana pamoja na maisha waliyoishi, tabu walizopata, watoto waiowalea, siri walizofichiana nk.
Mhh hapo shida ni papuchi tu mkuu..
 
Back
Top Bottom