Eng Hanscana La Cavella
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 65
Hatimaye nimeingia ndani ya mjengo mnipe ushirikiano wadau ili nishirikiane nanyi kile kidogo ninachokijua.
Ahsanteni na usiku mwema.
Ahsanteni na usiku mwema.
Ahsante jakitooKaribu jf
pita salama angalia mbele kuna vibaka huko[emoji23]Napita
kwani kuna mtu kaibiwa?Mbwembwe zote hizo as if Unatujua.
Mdogo wakeWewe ndio yule video producer au?
Thanks madam hobboLa aloe vera karibu ndani ya mjengo[emoji3][emoji125][emoji125]
Tomasiiiiiiiikwani kuna mtu kaibiwa?
Tupe maujuzi yakoMdogo wake
Hahahahaha watu wanamaneno hatari sanaMbwembwe zote hizo as if Unatujua.
Asante mkuukaribu sana JF..............
0.5 ray???nataka kutoa ngoma na ½ ray Vip tuje
soma kwa kizungu ½ ray0.5 ray???