Acha uvivu mkuu,shuka ilala maduka ya spear,tembea mwenyewe mguu kwa mguu,hii mambo ya kutuma watu wengine wanaongeza vya juu...Jamaa anauza engine kwa bei yaghari kweli 5A ya corolla anauza M. 1.8 nimechoka kabisaa
Vitu vizuri gharama nduguJamaa anauza engine kwa bei yaghari kweli 5A ya corolla anauza M. 1.8 nimechoka kabisaa
Ni kweli kesho naendaAcha uvivu mkuu,shuka ilala maduka ya spear,tembea mwenyewe mguu kwa mguu,hii mambo ya kutuma watu wengine wanaongeza vya juu...
sio kwa stail hiyoVitu vizuri gharama ndugu
Ukiona unashindwa kununua Engine complete kwa 1.8m Tsh ujue muda wako was kumiliki gari ilikua bado ulifosi tusio kwa stail hiyo
Nenda PM utakutna na sms inayokuelekeza kwa fundi boraHabari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.
Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
Nahisi ndo wewe unayejita fund wa ilalaUkiona unashindwa kununua Engine complete kwa 1.8m Tsh ujue muda wako was kumiliki gari ilikua bado ulifosi tu
Tatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio famba
Usikute unayoita gari ni "PASSO"
Volkswagen Touareg ya 2004 mpaka Leo nadunda nayo mpaka leoNahisi ndo wewe unayejita fund wa ilala
No za sim ndio jibu la swali langu?,una mtindio wa akili?....Soma post #42 kwa jibu la swali lako please
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.
Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
asante.Siku nyingine ukipata matatizo ya namna hii usikimbilie kufanya engine overhaul kwani mara nyingi huwa siyo yalazima kabisa. Injini ikipitia kwenye computer scanning ikaonekana kuwa na misfirire, ni rahisi fundi asiye na uzoefu wa kutosha kucheki spark plugs tu, na au ignition coils; akikuta zote ziko sawa basi ata kuambia engine Overhaul kwa kuhisi kuwa kuwa Piston ni mbaya. Lakini mara nyingi misfire hutokana pia na ama na valve kutofunguka vizuri au timing belt kuchakaa, mambo ambayo mafundi wengi huwa hawaangalii kabisa. Uzoefu wangu kwenye engine za magari tena makuukuu sana yenye maili nyingi hata zaidi 200,000 (km300,0000) (nina autoshop yangu ya binafsi huko mitaani) ni kuwa kuna kitu kinaitwa valve lifters (tappets), ambazo huchakaa na kushindwa kusukuma valves na kusababisha misfire. Hii hutokea iwapo hauko makini kubadilisha oil wakati unaotakiwa; ukiendesha gari kwa muda mrefu na oil chafu unaweza kuharibu hizo valve lifters. Gharama yake (US Prices) kwa seti ni kati ya $40 hadi $80 kulingana na aina ya injini na wingi wake; injini moja inaweza kuwa nazo 8 (4 cylinder) mpaka 16 (8 cylinder). Halafu, kama injini yako inatumia timing belt, basi hiyo inatakiwa ibadilishwe pia kila baada ya maili 100,000 (km 150,000) kulingana na aina ya gari. Kila unapobadilisha timing belt, ni muhimu ubadilishe pia water pump, idler pulley, tensioner pulley, na vile vile air conditioning clutch. Hata kama gari yako inatumia timing chain (siyo belt), bado unatakiwa ubadilishe water-pump, idler pulley, tensioner pulley na A/C clutch kwani bearings zake hufa baada ya muda wa km150,000. Kubadilisha kwa pipes huwa siyo jambo la kawaida ila labda kama fundi afanye makosa na kuvunja pipe hiyo wakati wa kufungua kwani huwa haziharibiki kabisa..
Oil pump inatumia umeme na iko chini ya engine unaweza kuibadilisha wakati wowote bila kuangusha injini, nayo pia hufa kutokana na kutobadilisha oil kwa wakati unaotakiwa. Fuel pump imo ndani ya tanki la mafuta, ambayo pia hufa baada ya muda fulani na inaweza kubadilishwa bila kuangusha engine.
Matengezo yote hayo ni ya kawaida kwenye gari yoyote na huanza baada ya gari kufikisha maili 100000 (km150,000); hayahitaji injini kuangusha na kufanya overhaul. Engine overhaul hufanyika tu iwapo umetumia gari vibaya bila oil na kusababisha Crackshaft bearings kuungua au valves kuvunjika. Ina maana injini iangushwe chini, halafu isukwe tena upya. Matatizo yatokanayo na overhaul yoyote ni kuwa huwa inadhoofisha ubora wa injini kabisa, yaani injini haiwezi kuwa kama awali tena; zile genuine parts za piston, piston rings, na bearings za ndani ya injini unaziondoa na kuweka OEM ambazo huwa siyo nzuri kama genuine parts zilizokuwamo mwanzo. Piston unazoweka huwa hazina uzito sawa na piston ulizoondoa, na ndiyo maana engine baada ya overhauli haiwezi kufanya kama ile original.
Hapa nimevina vitu vingi. Gari yangu ndio imefikisha mile laki moja na ushee . toka juzi nimesikia ina miss alafu compressor nimeshatengeneza mara ya tatu maana inafika wakati inakata hadi mkanda, nijuzi tu nimetengeneza laki AC imeacha kufanya kazi. Hapa Niko safarini na nimeacha fundi maelezo akaitengenezeSiku nyingine ukipata matatizo ya namna hii usikimbilie kufanya engine overhaul kwani mara nyingi huwa siyo yalazima kabisa. Injini ikipitia kwenye computer scanning ikaonekana kuwa na misfirire, ni rahisi fundi asiye na uzoefu wa kutosha kucheki spark plugs tu, na au ignition coils; akikuta zote ziko sawa basi ata kuambia engine Overhaul kwa kuhisi kuwa kuwa Piston ni mbaya. Lakini mara nyingi misfire hutokana pia na ama na valve kutofunguka vizuri au timing belt kuchakaa, mambo ambayo mafundi wengi huwa hawaangalii kabisa. Uzoefu wangu kwenye engine za magari tena makuukuu sana yenye maili nyingi hata zaidi 200,000 (km300,0000) (nina autoshop yangu ya binafsi huko mitaani) ni kuwa kuna kitu kinaitwa valve lifters (tappets), ambazo huchakaa na kushindwa kusukuma valves na kusababisha misfire. Hii hutokea iwapo hauko makini kubadilisha oil wakati unaotakiwa; ukiendesha gari kwa muda mrefu na oil chafu unaweza kuharibu hizo valve lifters. Gharama yake (US Prices) kwa seti ni kati ya $40 hadi $80 kulingana na aina ya injini na wingi wake; injini moja inaweza kuwa nazo 8 (4 cylinder) mpaka 16 (8 cylinder). Halafu, kama injini yako inatumia timing belt, basi hiyo inatakiwa ibadilishwe pia kila baada ya maili 100,000 (km 150,000) kulingana na aina ya gari. Kila unapobadilisha timing belt, ni muhimu ubadilishe pia water pump, idler pulley, tensioner pulley, na vile vile air conditioning clutch. Hata kama gari yako inatumia timing chain (siyo belt), bado unatakiwa ubadilishe water-pump, idler pulley, tensioner pulley na A/C clutch kwani bearings zake hufa baada ya muda wa km150,000. Kubadilisha kwa pipes huwa siyo jambo la kawaida ila labda kama fundi afanye makosa na kuvunja pipe hiyo wakati wa kufungua kwani huwa haziharibiki kabisa..
Oil pump inatumia umeme na iko chini ya engine unaweza kuibadilisha wakati wowote bila kuangusha injini, nayo pia hufa kutokana na kutobadilisha oil kwa wakati unaotakiwa. Fuel pump imo ndani ya tanki la mafuta, ambayo pia hufa baada ya muda fulani na inaweza kubadilishwa bila kuangusha engine.
Matengezo yote hayo ni ya kawaida kwenye gari yoyote na huanza baada ya gari kufikisha maili 100000 (km150,000); hayahitaji injini kuangusha na kufanya overhaul. Engine overhaul hufanyika tu iwapo umetumia gari vibaya bila oil na kusababisha Crackshaft bearings kuungua au valves kuvunjika. Ina maana injini iangushwe chini, halafu isukwe tena upya. Matatizo yatokanayo na overhaul yoyote ni kuwa huwa inadhoofisha ubora wa injini kabisa, yaani injini haiwezi kuwa kama awali tena; zile genuine parts za piston, piston rings, na bearings za ndani ya injini unaziondoa na kuweka OEM ambazo huwa siyo nzuri kama genuine parts zilizokuwamo mwanzo. Piston unazoweka huwa hazina uzito sawa na piston ulizoondoa, na ndiyo maana engine baada ya overhauli haiwezi kufanya kama ile original.
Nilifanya kichwa ngumu bora tu ningechukua engine nyingine, lakini pia nilikuwa siyo mtaalam saana wa soko, huwezi amini sasa hivi niko vizuri kwenye engine kuliko hata baadhi ya mafundi. Najua kona za vifaa mpaka karakana wanazokataasante.