Engine overhaul

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,378
2,000
Jamaa anauza engine kwa bei yaghari kweli 5A ya corolla anauza M. 1.8 nimechoka kabisaa
Acha uvivu mkuu,shuka ilala maduka ya spear,tembea mwenyewe mguu kwa mguu,hii mambo ya kutuma watu wengine wanaongeza vya juu...
 
kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,064
2,000
Ingia mwenyewe mtaa kwa mtaa. Wanataka kukupiga bei kubwa sana iyo kiongozi.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,308
2,000
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.

Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
Nenda PM utakutna na sms inayokuelekeza kwa fundi bora
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,700
2,000
Tatzo sio kununua nyingine ila je una uhakika atapata mpya au hizi used za biko maana anaweza akanunua hiyo unayomshauri mwisho wa siku akarudi kulekule tu. Hapo cha msingi afanye overhaul ila ahakikishe anafunga vipuri original na sio famba
Injini ana agiza nje sio lzm za ilala
 
ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
536
250
Nakubaliana na ww

Kufungua engine hata kwa bure sirudii..ntapaki gari mpaka nipate hela ya engine mpya
Mkuu, jichange ununue mashine nyingine tu. Acha ku overhaul utakuja kujikuta unagharamika kama ungenunua engine nyengine tu.
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,243
2,000
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump haifanyi kazi, water pump nayo haiko sawa, pia baadhi ya pipes zinazoonekana zinahitaji kubadilishwa, aina ya engine ni 1JZX.

Pia fundi aliniambia anahisi kuna moja ya piston huenda ikawa na tatizo. Naombeni ushauri pia kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa overhaul hapa Dar anitupia namba. Lkn pia ushauri kutoka kwa wataalam
Siku nyingine ukipata matatizo ya namna hii usikimbilie kufanya engine overhaul kwani mara nyingi huwa siyo yalazima kabisa. Injini ikipitia kwenye computer scanning ikaonekana kuwa na misfirire, ni rahisi fundi asiye na uzoefu wa kutosha kucheki spark plugs tu, na au ignition coils; akikuta zote ziko sawa basi ata kuambia engine Overhaul kwa kuhisi kuwa kuwa Piston ni mbaya. Lakini mara nyingi misfire hutokana pia na ama na valve kutofunguka vizuri au timing belt kuchakaa, mambo ambayo mafundi wengi huwa hawaangalii kabisa. Uzoefu wangu kwenye engine za magari tena makuukuu sana yenye maili nyingi hata zaidi 200,000 (km300,0000) (nina autoshop yangu ya binafsi huko mitaani) ni kuwa kuna kitu kinaitwa valve lifters (tappets), ambazo huchakaa na kushindwa kusukuma valves na kusababisha misfire. Hii hutokea iwapo hauko makini kubadilisha oil wakati unaotakiwa; ukiendesha gari kwa muda mrefu na oil chafu unaweza kuharibu hizo valve lifters. Gharama yake (US Prices) kwa seti ni kati ya $40 hadi $80 kulingana na aina ya injini na wingi wake; injini moja inaweza kuwa nazo 8 (4 cylinder) mpaka 16 (8 cylinder). Halafu, kama injini yako inatumia timing belt, basi hiyo inatakiwa ibadilishwe pia kila baada ya maili 100,000 (km 150,000) kulingana na aina ya gari. Kila unapobadilisha timing belt, ni muhimu ubadilishe pia water pump, idler pulley, tensioner pulley, na vile vile air conditioning clutch. Hata kama gari yako inatumia timing chain (siyo belt), bado unatakiwa ubadilishe water-pump, idler pulley, tensioner pulley na A/C clutch kwani bearings zake hufa baada ya muda wa km150,000. Kubadilisha kwa pipes huwa siyo jambo la kawaida ila labda kama fundi afanye makosa na kuvunja pipe hiyo wakati wa kufungua kwani huwa haziharibiki kabisa..

Oil pump inatumia umeme na iko chini ya engine unaweza kuibadilisha wakati wowote bila kuangusha injini, nayo pia hufa kutokana na kutobadilisha oil kwa wakati unaotakiwa. Fuel pump imo ndani ya tanki la mafuta, ambayo pia hufa baada ya muda fulani na inaweza kubadilishwa bila kuangusha engine.

Matengezo yote hayo ni ya kawaida kwenye gari yoyote na huanza baada ya gari kufikisha maili 100000 (km150,000); hayahitaji injini kuangusha na kufanya overhaul. Engine overhaul hufanyika tu iwapo umetumia gari vibaya bila oil na kusababisha Crackshaft bearings kuungua au valves kuvunjika. Ina maana injini iangushwe chini, halafu isukwe tena upya. Matatizo yatokanayo na overhaul yoyote ni kuwa huwa inadhoofisha ubora wa injini kabisa, yaani injini haiwezi kuwa kama awali tena; zile genuine parts za piston, piston rings, na bearings za ndani ya injini unaziondoa na kuweka OEM ambazo huwa siyo nzuri kama genuine parts zilizokuwamo mwanzo. Piston unazoweka huwa hazina uzito sawa na piston ulizoondoa, na ndiyo maana engine baada ya overhauli haiwezi kufanya kama ile original.
 
Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
108

asante.
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,548

Hapa nimevina vitu vingi. Gari yangu ndio imefikisha mile laki moja na ushee . toka juzi nimesikia ina miss alafu compressor nimeshatengeneza mara ya tatu maana inafika wakati inakata hadi mkanda, nijuzi tu nimetengeneza laki AC imeacha kufanya kazi. Hapa Niko safarini na nimeacha fundi maelezo akaitengeneze
 
Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
108
250
Nilifanya kichwa ngumu bora tu ningechukua engine nyingine, lakini pia nilikuwa siyo mtaalam saana wa soko, huwezi amini sasa hivi niko vizuri kwenye engine kuliko hata baadhi ya mafundi. Najua kona za vifaa mpaka karakana wanazokata

Overhaul ilifanyika na ukweli ni kuwa nilibadili fundiz sababu wa kwanza alifanya na akashindwa baadhi ya mambo, nikabadili na huyu wa pili alimalizia baadhi ya vitu bila engine ikiwa imefungwa na yule kwa kwanza, engine sasa iko sawa, hata consuption yake naona inalingana kidogo na 1G FE vvti ambayo niliwahi kuitumia.

Shida ni check engine ambayo inatokea ukiilazimisha gari kwa kukanyaga mafuta, hata ikiwa imesimama ukapiga ukasukuma gas pedal baada ya muda inawaka, ukizima gari ukiwasha tena inapotea, halafu ukiendesha kwa mwendo wa kawaida bila kukanyaga gas pedal kwa nguvu haiwaki kabisaaa, hadi mwisho wa safari, lakini ukikanyaga kwa nguvu inawaka. Vitu ambavyo vilibadilishwa pamoja na overhaul ni Injector pumps ( ilikuwa inawaka kabla ya kubadili hizi), fuel pump ( sijajua kwanini walibadili ila walisema kitu kama haiko sawa, Throttle body sensor na kifaa fulani kwenye distributor, kile kinachozunguka ( tuliwahi kuichunguza wakati wa overhaul na ikaonekana kuna ka crake kwenye distributor lakn sijabadili sababu walisema haina neno),

Kingine nachokiona ni ikifika km 10 inakuwa kama ina delay flani, ambayo huwezi kuhisi mpaka uendeshe mara kadhaa ndiyo utaigundua

So far engine na gear box imetulia kabisa, ingawa natakiwa kubadili hizo idler pulley, tensioner na timing belt.

Nilipofikia kuna mteja anataka hii gari na nampango wa kuuza hii gari.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom