Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Habari.
Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi.

Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga.

Fundi wa pili [tena huyu ni Toyota Specialised Agent] yeye akaweka Oil ya Total 5W~40 akasema ndo oil sahihi na inaenda km 5000,hii nilikaa nayo mpaka km zilipokaribia kwisha nikamwaga.

Baada ya kumwaga fundi wa tatu ndo akanichosha zaidi akaweka Castrol 20W~50 Duh... Bonge la changamoto, kwenye Google hii niliona ni nzuri maana ipo kwa all weather...

Sasa naomba msaada nisije kuua engine bure, oil ipi sahihi kwa gari hiyo Toyota Crown Royal Saloon.

Natanguliza shukrani cc RRONDO
 
Tumia 5w40
 
Hivi ni lazima uendeshe hizo 5000km? Filter unakua unaweka ya kiasi gani? Vitu vingine ni kujichosha cha muhimu weka oil recommended kwenye manual ya gari...halafu ukiwa na gari hauhitaji kua na ubahili usio na tija...
 
Habari.
Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi.

Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga.

Fundi wa pili [tena huyu ni Toyota Specialised Agent] yeye akaweka Oil ya Total 5W~40 akasema ndo oil sahihi na inaenda km 5000,hii nilikaa nayo mpaka km zilipokaribia kwisha nikamwaga.

Baada ya kumwaga fundi wa tatu ndo akanichosha zaidi akaweka Castrol 20W~50 Duh... Bonge la changamoto, kwenye Google hii niliona ni nzuri maana ipo kwa all weather...

Sasa naomba msaada nisije kuua engine bure, oil ipi sahihi kwa gari hiyo Toyota Crown Royal Saloon.

Natanguliza shukrani cc RRONDO

Kitu kingine ndugu jitahidi upate fundi mmoja mtaalam usipende kubadilisha mafundi kama hivyo ulivyofanya,gari ikiwa inatengenezwa sehemu moja huwa vizuri sana kwani wanajua historia ya gari vizuri
 
Sawa ila service ikikukutia Mkoa mwingine na alipo fundi wako inakuwa hamna namna
 
Kitu kingine ndugu jitahidi upate fundi mmoja mtaalam usipende kubadilisha mafundi kama hivyo ulivyofanya,gari ikiwa inatengenezwa sehemu moja huwa vizuri sana kwani wanajua historia ya gari vizuri
Mara ya kwanza service imefanyika kwa agent bandarini, mara ya pili imefanyika ninapoishi [kuna Toyota agent] mara ya 3 imenikuta likizo huko mbali kabisa, no way
 
Hello!
Naomba ufafanuzi juu ya lita za injini oil ngapi yafaa kuweka katika gari:

Aina: Toyota crown Athlete
Injini size: 2490cc
Yom: 2006

Maana nimeona google ni lita 6.6 lakini kuna mafundi wana sema lita 6 na wengine lita 5.8. Pia humu sijaona kutolewa ufafanuzi zaidi ya ufafanuzi wa recommended oil viscosit ya 5W40

Pia je oil za uturuki kama Afroturco Lubricants Zafaa kwa alietumia? Maana kuna changamoto nimeambiwa hizi oil zenye majina kama total Quartz, Castrol et al inabidi ujitahidi sana kununna kwa maajent kwani zinachakachuliwa sana na wauzaji wadogo wadogo

RRONDO
Extrovert
et al
 
Back
Top Bottom