ENGEN Mikocheni wauza mafuta Machafu?


with due respect kaka hujasomeka!!
 
Wakuu,

Nipo garage hapa, mafuta wamekuta yalikuwa machafu na nimeshusha tank na kuyamwaga yote.

Nilichoambiwa ni kuwa kuna meli ilileta mafuta machafu, rushwa ikatembea na mafuta yakaachiwa kuingia kwenye soko.

Engen ni victim tu, lakini mafuta haya yapo vituo vingi kwa Dar. TSN ya pale Bamaga nayo imo kwenye vituo nilivyoambiwa.

EngenMikocheni, lengo letu hapa si kukuharibia biashara. Tumeharibikiwa magari ni haki yetu kulalamika na kufahamishana kwa tahadhari. Mmefanya vyema kuja JF kutufafanulia na kuzuia kuuzwa Petroli kwa sasa.
 

Wewe vipi , kulalamika hapa inasaidia kuwajulisha wengine wasije pata tatizo kama alilopata yeye. na wala siyo yeye peke yake watu kibao wamejitokeza kuishtumu hiyo petrol station na mimi nikiwa mmojawapo kwani nimeweka jana tu nafika pale Henken gari ikaanza kushtka shituka . mimi naona wewe ni mmojawapo wa hiyo sehemu
 
Reactions: EMT
We would like to assure you and all our customers that the investigation is ongoing. Quality of Fuel is an issue we take seriously. Samples have been collected by relevant authorities. So let's all be patient -- see what may have happened.

We take pride in ensuring quality fuel is available at all times and provide excellent service.

Should you have any concerns regarding any issues, please pop-in the Quickshop/Office and ask for Omari, the station manager.
 
tumewasiliana na engen, wameahidi kuingia jf kutoa ufafanuzi.

Kifupi wanasema wamesimamisha uuzwaji wa mafuta ya petroli na wanajaribu kufuatilia usafi wa mafuta yao.
Maxence nimepita hapo korola zinaendelea kupigwa mchakuchuo kama kawa wasikudanganye hao...kwanza sijui huyo mmiliki wa sasa, wa mwanzoni alikua hata ukimpelekea shida hana mpango na wewe.

Nakumbuka hili la mafuta nikawapelekeaga nikasubiri sikuhiyo mmiliki akaja nikamwonyesha mafuta yake mpaka leo ...nothing akaishia kuchukua simu yangu wacha hiyo..nawashauri msikimbilie yale mayai ya kule ndani wanakuita supermarket niliingia mkenge nikauliza mayai sh ngapi na ya kienyeji wakasema ndio...nilipofika hme keshokutwa yake nikachukua kukaanga zaidi ya 20 nilivunja mamayangu mwanamke yoteeeee yameharibika nikachukua trei moja nikampelekea na yaliobakia ....nilipofika nikauliza dada mmoja wa shell tatizo ni nini akasema pole hayo mayai ya khanga dear awakukwambia...akachukua yai 5 akavunja zote zimeoza sikuwa na hamu hata leo hii niwe na kiu nikisema kuingia mule ndan nahisi maji yameoza sijui watanibadilishaje
 
Reactions: EMT

javed

punguza jazba rekebisheni matatizo yenu.

..kumbuka haya ni magari yananunuliwa kwa bei kubwa sio kama unavyoenda kumletea hawara huyo bosi wako pale afrikasana...ukimsoma mlalamikaji hana wivu kwa nini asiseme tsn,asiseme oil com..asiseme javed petrol station aseme hiki...

Nahisi kama wamekutuma too late kuwasafisha mie binafsi nimeenda pale na leo hii nilichosikia huyo dada anaambiwa na mwenzake kumbuka sina hamu...

Unaposema asiende kulalamika kule kama hana cont asiulize apate msaada jamani...??ama unapoenda kule kwenye jukwaa la ukubwa si kwamba huna mke ???lakini kinachokufanya kukimbilia ni nini??si upate msaada wa kumtimizia mkeo ..wacha watu wawe huru bana ...kemcho barabarache
 
Reactions: EMT
Our stand here is SIMPLE - you have an issue and a problem, something you are not happy with - come see us, and we will LISTEN. We even gave you the contact of the manager, Omari. Karibu sana...you have further concerns you may even escalate to Engen Headquarters
 

you have click ""like"" for javed we are after racism what do you want again our "Ass""??why do you need to come to your office?how sure our security??
wacha wafu tuzike gazi zetu bana kama mmekuja kupata msaada tuko pamoja lakini mnakimbilia post za mshenzi mmoja tu asiye na haya ajui mafuta hayo yatamuathiri na baba yake kama sio mjomba wake kama yeye hana gari/................
 
Reactions: EMT

Mkuu unaweza kudhani ni tatizo dogo, lakini yanayosemwa hapo chini kama yana ukweli, it could be even worse.

 
m nafikiri JAVED akutake radhi kwanza
hata kama yeye ni dereva wa hao jaamaa anatakiwa ajue hata kama unaendehsa gari ya ofisini unatakiwa kuipenda kuiheshimu sio kwamba kila mafuta /mkojo /mafuta ya taa yanatakiwa kuwekwa kisa watu kadhaa wanufaike na kujaza matumbo yao
mi majuzi nimeweka wazi jamani nilimwaga mafuta half tank nilijaza pale OIL COM sio siri ukitoke UBUNGO kwenda mwenge kuna shell ya OILCOM kabla ujafika mwenge kushoto loh!! sina hamu nimeyamwaga pale ENGEN NJIA YA MBEZI BEACH NAHISI WALINZI NI MASHAHIDII GARI ILIBUMA KABISA ...SASA HATUKO HAPA KUWACHAFULIA WATU TUKO HAPA KUREKEBISHA NA KUTHAMINI MALI ZETU KAMA WAO WANAVYOTHAMINI MAFUTA YAO KWA KUWEKA NA MAFUTA YATAA ILI WAPATE PESA ZAIDI..
 

Its fine to respond but I thought you would be more responsible. It isnt just the question of prooving whether the fuel in car is the same as yours but its the matter of compensation. Acheni ubabaishaji na wizi kama ni kweli. Wengi wa wanaokuja kununua mafuta ni watz wanaosota kupata hela halafu mnawaibia kiulaini. Nasema kama ni kweli nyie ni MANYANG'AU TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…