Engagement

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Ni upi mda muafaka kumuengage mwanamke? Na after engagement mnaweza stay for how long kabla ya kufunga ndoa na je is it necessary wazazi kuwa aware na hii event, either kuattend or not,, kwa kibongo culture zaid,
But ni aina ipi ya engagement ring material ipo vizuri na upatikanaji wake kibongo including bei zake kwa Dar? to me naona diamond inatumika sana,,
Mwenye chochote atupie basi
 
Kwanza hongera kwa uamuzi wako....
Go for gold, kama sikosei ni elf 70 grm!
It sound sweet ikiwa ni supprise!!!!!!!
 
yaani engagement ya wawili tu? Aiiiiiii

engagement ya kiafrika ni kuposa na mahari
 
yaani engagement ya wawili tu? Aiiiiiii

engagement ya kiafrika ni kuposa na mahari

hii nilikuwa sijui so siku niliyopeleka mahali si ndo nashangaa wanauliza vipi na pete ya uchumba unamaliza leo?nikabaki nashangaa shangaa tu kama nimefumaniwa!sasa nimebaki na huo mtihani.so hii topic inanihusu sana comment zenu wadau zinaweza nipa mwanga kidogo au kuniongezea maujuzi!!!
 
yaani engagement ya wawili tu? Aiiiiiii

engagement ya kiafrika ni kuposa na mahari

Siku ile unapotoa mahali ndiyo engagement inafanyika siku hiyohiyo, Mambo ya kumuengage mtoto wa watu ,wakati kwao ujajitambulisha wala Haujalipa kiasi chochote cha mali , Mwisho unakuwaga siyo kizuri munaweza Ishia kwenye Engagement musifike mbali mkuu, So nakushauri jipange kalipe mali hata kiasi na siku hiyohiyo ufnye Engagement. Suara pete waweza Pata kwa Shs 70,000/= hadi laki 300,000/= , kutegemea aina ya pete kama ni silver au gold
na kiasi cha gramu ya pete unayoitaka mkuu.

Karibu kundini mkuu sis tulisha tanguria
 
Suara pete waweza Pata kwa Shs 70,000/= hadi laki 300,000/= , kutegemea aina ya pete kama ni silver au gold
na kiasi cha gramu ya pete unayoitaka mkuu.

Mbona kuna pete hata za milioni 10 hapo Bongo na hata bilioni duniani!
 
Mbona kuna pete hata za milioni 10 hapo Bongo na hata bilioni duniani!

sijakataa kaka , tunaangalia Uwezo wa mtu kama ana uwezo mkubwa sawa hata ya bilioni mbili anaruhusiwa ,lakini maelezo yangu ya Engegement umeyapata mkuu kama kuna usahisho usisite kuni correct mkuu. tuko pamoja
 
Sasa kaka mtoa mada humjui uwezo wake, kwa hiyo si vyema kuwekea kikomo cha bei.

Pengine ana milioni zake 10, wewe unamwambia anunue ya laki tatu!

Juu ya hivyo kumbe nilikosea kukusoma ......wewe umesema laki 300,000 ambazo ni laki laki tatu
 
Upo correct kaka ,umesomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…