Eng.Nsiande na Majibu ya Tatizo la Nishati ya Umeme - Must Read

Respect Mkuu Eng.Nsiande!

Nakunukuu kabla ya kurusha kombora zito kwako "Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda"


Hivi..whats going on honestly? Mnalipwa mishahara kwa result gani nyie TANESCO?

Samahani nimekuwa na jaazba kidogo...lakini nina haki maana nalipa kodi zote na ada zote kama Mtanzania...umeme ni moja ya huduma ninazotegemea kupata.

Hebu tuelezeni kinagaubaga..nini hasa kinaendelea - go step by step kama unamfundisha mtoto wa chekechea ili tuelewe tatizo ni nini, mna mipango gani ya kutatua na tutegemee nini kwa kipindi gani.

SAMAHANI TENA KAMA SWALI LANGU LITAKUKERA

Hawa Tanesco bure kabisa, na huyu Engineer ametuletea visingizio kibao kuhalalishwa kushindwa kwao kutoa huduma. Hivi wanajua ikabadilishwa sheria kuondoa monopoly hawa Tanesco ni maiti anyesubiri kuzikwa?
 
Back
Top Bottom