Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 99
Hi kampuni ya kusaga nafaka matangazo yake TBC sijayapenda yanakandia mashine nyingine za kusagia nafaka tulizozoea na kuzionesha kwa picha kabisa, na tena wanamtumia ndodi kuponda viwanda vidogo vya kusaga sembe. sio poa kabisa kibiashara na pia kanuni za kiushindani hazikubaliani na hi kitu. inabidi wafanye marekebisho ya tangazo lao.