Energy Milling Co. ltd

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
Hi kampuni ya kusaga nafaka matangazo yake TBC sijayapenda yanakandia mashine nyingine za kusagia nafaka tulizozoea na kuzionesha kwa picha kabisa, na tena wanamtumia ndodi kuponda viwanda vidogo vya kusaga sembe. sio poa kabisa kibiashara na pia kanuni za kiushindani hazikubaliani na hi kitu. inabidi wafanye marekebisho ya tangazo lao.
 
Kama wanasema ukweli wateja ndio watachambua kwani yale matangazo ya Airtel hayakandii makampuni mengine hamia airtel......hakuna vigezo hakuna kujiunga hakuna masharti kwa nini uuziwe bei tofauti saa 11 n.k lile tangazo liko kisayansi kwa sababu ndodi anaongea vitu vilivyofanyiwa utafiti
 
Mi ananikera kwa kusema eti mashine zao hazitumii vyuma kusaga mahindi na wanatumia matairi.

Anataka kutudanganya eti matairi ya plastic hayasagiki na hata yakisagika, vumbi ya plastick haina madhara kwenye mwili wa binadamu.
 
Plastick haina madhara kwa mwili wa binadamu? Waambie wajipange upya hao jamaa.

Mie sembe yao siili tena, kumbe wanatumia Plastick? Lohhh :(

Back
Top Bottom