Hujatulia aseeWanatumia watu wa bodaboda kwa maana kinasaidia mwendo na kinapunguza ulaji wa mafuta kwenye boda zao
Wanatumia watu wa bodaboda kwa maana kinasaidia mwendo na kinapunguza ulaji wa mafuta kwenye boda zao
duh mkuu upo vizuri, na zile ya mo nazo zinafanya kazi hiyohiyo auNi mbadala wa kiroba... Uzuri wa hiki kinywaji haulewi.
Pia hii ni dawa nzuri kwa wale ambao wanajiona wanaenda kazini wamechoka choka au mwili hauna nguvu.
Pia ni dawa ya ugonjwa wa Depression na Anxiety kwa sababu hiki kinywaji kina Caffeine ambayo husaidia ubongo kuzalisha neurotrasmitter aina ya Dopamine ambayo inahusika na masuala ya furaha, motivation, na mwenendo mzima wa mwili. Kifupi ashukuriwe Azam kwa kuleta neema kwa Watanzania hasa wenye ugonjwa wa msongo wa mawazo, ninawashauri wapige hiki kinywaji watajiona wamepata nafuu kubwa kwa ugonjwa huu. Dawa nyingi zilizopo madukani zinasaidia kulinda kiasi kidogo cha neurotransmiter kisiliwe wakati hiki kinywaji kinachofanya kinasaidia uzalishaji wa neurtransmitter so ni more effective kuliko hata dawa za madukani...
Thanks. Ile ya Mo sijaiona but kama in content ya Caffein (High Caffeine content) kitakuwa na uwezo huo huo. Kinywaji kingine ambacho kinaweza ku produce same effect ni kahawa... Ndio maana ukinywa kahawa mwili unakuwa energized na unajisikia kuwa mchangamfu...duh mkuu upo vizuri, na zile ya mo nazo zinafanya kazi hiyohiyo au
Sawa mkuu ila zile za azam wameandika haitakiwi unywe zaidi ya mbili kwa sikuThanks. Ile ya Mo sijaiona but kama in content ya Caffein (High Caffeine content) kitakuwa na uwezo huo huo. Kinywaji kingine ambacho kinaweza ku produce same effect ni kahawa... Ndio maana ukinywa kahawa mwili unakuwa energized na unajisikia kuwa mchangamfu...
Yeah, too much is harmful. Mbili ni margin of safety yani ukizidisha hapo ina maana mwili unakuwa umepokea zaidi ya mahitaji. Hata bia mbona hutakiwi unywe zaidi ya tatu?Sawa mkuu ila zile za azam wameandika haitakiwi unywe zaidi ya mbili kwa siku
kinasaidia energyHeshima yenu ndug zang
Kuna iki kichwaji kimeingia siku izi kinaitwa energy drink kinapendwa san na vijana na wanaume kwa ujumla ningpenda kujua kinasaidia nini manake kinapendwa sana hasa vijana wa boda boda pia
Kuuliza si ujinga naomba kuwasilisha.
sijawahi kunywa beer hivyo sifahamuYeah, too much is harmful. Mbili ni margin of safety yani ukizidisha hapo ina maana mwili unakuwa umepokea zaidi ya mahitaji. Hata bia mbona hutakiwi unywe zaidi ya tatu?
Good! Keep that good character... Ok ngoja nitolee mfano wa maji. Hata maji hutakiwi kuzidisha kipimo. Ukinywa maji mengi sana mwishowe unaishia kuwa mweupe kama Ray... So kila kitu kina kiwango chake ambacho sio vizuri kuzidisha.sijawahi kunywa beer hivyo sifahamu