Sijakuelewa,ulitaka kusema nini?What is a news?eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa nawapongeza
Ulitaka wajenge kanisa?Eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa
Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa
Nawapongeza
hahahahahaEneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa
Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa
Nawapongeza
pesa ya kiwanja itoke wapi sadaka sh 50.na utakuta madrasa yenyewe ya makuti
Eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa
Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa
Nawapongeza
Ulitaka wajenge kanisa?
wenye pesa ndo maana akina mwingira, Rusekelo,kakobe na malisa na yule --------- wa Agape na mkewe anaevaa kikuku cha dhahabu ndo wenye pesa zao na wanauwezo pa usiku kupafanya mchana pa mchana kupafanya usiku. Si ndo wachungaji wa kondoo wa bwana? Na mchungaji huwezi mzibiti asinywe maziwa na hata nyama.pesa ya kiwanja itoke wapi sadaka sh 50.na utakuta madrasa yenyewe ya makuti
Linajengwa? Eneo la Wzi? Mahesabu -umejuaje ni la wazi? kwa kuwa tangu muda limekuwa linatumika kuchezea hivyo kwa ukafiri wako ukajua halina mwenyewe? Nadhani ungefanya utafiti kule ardhi (kinondoni au wizarani) ndo uwe na uhalali wa kusema hayo. My WEB-sadaka 50 siyo jukumu lako waislam siyo kama wakatoliki wanaoitegemea Roma na Serikali kwa ruzuku -Waislam wanajua kujetemea japo kwa chao kidogo-hawana mabwana wa kuwagawia pesa za dhuluma. Inaelekea ukiona waislam wanajenga hata hiyo madrasa unayoiita ya makuti unaumia saaaana, basi jua kwa sasa utaumia zaidi
Ujue sisi tunafadhiliwa na nchi za magharibi sana ambao tunawasaidia kutekeleza sera zao za kifirauni kama ushoga,dhulma mbalimbali,sema hatujui kuwa sisi tuko mbele na hawatukamati kwa sasa hela zetu zote zimetokana na primitive accumulation of capital ndio mana sisi tunejenga masonic building.kuwa msomi sio kuwa na degree za juu.Eti tumeendele lakini tunadanganywa eti 3=1 na 1=3.akili au matope.tumeendelea kweli nimadoctor na maprofesa.kitendawili!