Eneo la Kivuko cha mto Pangani...

Eneo la Kivuko cha mto Pangani...

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[h=1] [/h]
​
Hapa ni mahali ambapo wanaokwenda au kurudi Saadani National park kwa kupitia njia ya Pangani hupita. Ni kivuko cha mto Pangani.

​

​

​

​

​
Kivuko chenyewe kikiwa upande wa pili wa mto Pangani kikipakia abira na magari​

​
Shukran ya picha kwa Mdau Rajab
​
 
Hizo nyumba za jirani hapo, watoto wadogo wapo kwenye risk kubwa sana.
 
Picha ya kwanza, naona ofisi ya magamba kwa mbaliiiiiiiii!
 
kumbe ni pazuri sana vp huduma za kijamii zinapatikana ki urahisi?
 
Panafaa kwenda kutembelea, binafsi napenda vitu vya kale hasa nikiona majengo kama hayo natamani kujua vitu vingi sana..........picha nzuri sana tnx mbuzi Mzee
 
Panafaa kwenda kutembelea, binafsi napenda vitu vya kale hasa nikiona majengo kama hayo natamani kujua vitu vingi sana..........picha nzuri sana tnx mbuzi Mzee
wana jf tulienda huko dec 28-31 ungetujoin tulienjoy kweli
 
wana jf tulienda huko dec 28-31 ungetujoin tulienjoy kweli

Oooh! hongereni sana, haina ubishi kwamba mlifurahia vya kutosha na wala sikujua kama kulikuwa na hiyo safari, next time nitajitahidi kutega sikio kwa umakini nisiachwe nyuma.
 
Very good pics,mkuu naona una hobby kama yangu-amateur photographer!
 
hapo sijafika lakini nikipata hela nitakwenda tembea sehemu ni nzuri na ina mandhari nzuri
 
wana jf tulienda huko dec 28-31 ungetujoin tulienjoy kweli

waeleze........wao wanajua huwa tunatania......
btw Smile........andaa passport....safari hii tunataka tutoe kitu cha ukweeeeee.......
 
Last edited by a moderator:
Hapo mto ushakuwa estuary ( sijui kiswahili chake) hakuna mafuriko tena vile uko level sawa na bahari

Duh wewe kweli mtu wa kukariri, kwani ni lazima kuwe na maana ya hilo neno Kiswahili, si unaweza kuelezea tu kwa nini huo Mto haufuriki, na mtu akaelewa bila kujua hilo neno, sio lazima kuwe na tafsiri ya 1-1 kwa kila kitu!

Asante "Kijakazi" ( a maid in other words)......ila wengi wameelewa na kuni PM kwa shukrani......pole kwa kutoelewa BTW mimi sijui kukariri

An estuary is a partly enclosed coastal body of brackish water with one or more rivers or streams flowing into it, and with a free connection to the open sea.Estuaries form a transition zone between river environments and ocean environments and are subject to both marine influences, such as tides, waves, and the influx of saline water; and riverine influences, such as flows of fresh water and sediment. The inflows of both sea water and fresh water provide high levels of nutrients in both the water column and sediment, making estuaries among the most productive natural habitats in the world
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom