Bravo Mike
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 576
- 672
Na nani atakae kuachia uwe huru hivo!! Bongo watu wote watuwa against you!! (polisi,majambazi,Trafiki,TRA,vibaka,CD,nk nk) watakuraruwa vizuri!!
Zamiluni wataka kutwambia ukiwa nao mzigo huo nyumbani huko kwenu Dubai unalala ndani buheri bila ya wasiwasi ?