Mmmh !! Ntakutumia mda huu, jee unaulinzi maalumu kuupokea?!!Laiti ningepata japo moja tu......!
Huo utauona kwenye movie tu.
Hiyo yaitwa ROSE GOLD !!! Bulldog au vipi?Mim sijaelewa hata nin hicho jamani
Ngoja Nisubiri Wataalamu Waje
Na nani atakae kuachia uwe huru hivo!! Bongo watu wote watuwa against you!! (polisi,majambazi,Trafiki,TRA,vibaka,CD,nk nk) watakuraruwa vizuri!!Nikiupata naubeba wote kwenye pickup yangu nauza moja baada ya nyingine. Hela nikiipata nanunua stocks S&P 500
Kusema kweli imetulia kama matofali yaliyo pakaliwa rangi !! TRUVADA ukiipata hiyo niuzie mie!!Kwahyo akiiona barabarani hataijua?