Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

Kusema nilicho sema siku maanisha literally,

Nilitolea mfano endapo mtu ata nunua IST ili naishi katika zone ya kifungo. Siku maanisha kununua IST ni umaskini au kukosa uhuru.

Ilikuwa ni mfano, kuna watu wana a range ila bado nao wako vifungoni. It's all about peace and freedom in what you do.
 
Mkishasoma vitabu vya Robert Kiyosaki,Napoleon Hill, Dave Ramsey,Morgan Housel, Tim ferris na mkishaangalia vipodcast vya CEO ,wa Room of jeans ,Dominik Mmasy basi mnaona mshayajua maisha ,mnakuja kutukashifu baba zenu sio?.. Pathetic


Ukianza kulipa bills ndio utajua reality of life
 
Ni wachache
Hapa bongo ni wachache sana wahafurahia kazi zao yaaani wangeweza pata mishahara bila kwenda kazini wange opt ivyo
 
Mkuu sijawahi kuamini katika kitabu kisicho kuwa na practical application hasa kama naona hakiendani na misingi ya maisha yangu.

So hayo unayo yasema hapo huenda ni mtazamo wako tu.

Nilicho jaribu kuelezea hapa ni kwa nini mtu naishi katika kifungo cha kufanya kazi wakati ana utashi na uwezo wa kufanya kile anaona kitampa furaha na amani ya moyo, hata kwa baadae akisha fanya savings?
 
Ni wachache

Hapa bongo ni wachache sana wahafurahia kazi zao yaaani wangeweza pata mishahara bila kwenda kazini wange opt ivyo
Ni kweli, kama mindset zetu huwa tunadhani hela ndio gateway, ila jamaa huwa wako disciplined vibaya mno. Na hutengeneza systems bora zitakazo wafanya waendelee kuwa huru
 
Kwani maisha kwako unayaona yanagotea wapi? Au unaona mtu a kifanya nini anakuwa kamaliza na hana deni na maisha?
Maisha yapo vile vile tu, sema binadam tumeamua kujiongezea umuhimu usio tuhusu. Kumiliki gari kali, kumiliki ndege, nyumba nzuri, na mambo mengine ya luxurious, yote haya ni mambo yasiyo na umuhimu wowote sisi binadam.
 
Maisha yapo vile vile tu, sema binadam tumeamua kujiongezea umuhimu usio tuhusu. Kumiliki gari kali, kumiliki ndege, nyumba nzuri, na mambo mengine ya luxurious, yote haya ni mambo yasiyo na umuhimu wowote sisi binadam.
Sawa na uko sahihi, ila mwanzo ulimaanisha kile unacho kifanya hata kwa expense ya afya yako na uhuru wako pia ni kawaida ya maisha!!?

Which was so wrong, na ilikuwa justification ya kukaa kwenye kifungo kwa kusingizia ndo maisha yalivyo
 
Ila anayeshinda dukani kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku hayuko kifungoni?

Dunia ya sasa yenye ushindani hakuna peace wala freedom sio kwa wamiliki wa biashara kubwa, wafanyabiashara wadogo na wa kati, CEOs, managers wala waajiriwa

Ulizia ratiba ya Dangote au Mo utapata jibu
 


Mafannikio ni kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu

Uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo

Issue inabidi kuwa hivi doesn't matter unafanya nn ila Add value ya unachofanya according to the time and space

Jay z kaanza muziki na miaka 26 Leo hii ana miaka 56 over 30 yrs yupo anafanya muziki

Ila value ya Jay z akiwa at 26 ni tofauti na Jay z akiwa at 56

So the important sio kufanya one shit miaka na miaka ila ni kufanya hiyo shit iweze kukulipa zaidi
 
Lakini kila taifa linahitaji wataalamu engineers, MDs, walimu n.k

Hata kama wanafanya vitu vilevile kwa miaka 30+ tunawashukuru sana kwa huduma zao

Labda ungesema serikali ya CCM iwaongezee mishahara au marupurupu kuwapa motisha zaidi
kabla ya mishahara na marupurupu kuwe na taifa lenye ustawi kwanza, alafu mazingira na mifumo viwe wezeshi
 
Usiangalie mtu anacho kisema mtandaoni ukadhani ni maisha yake.

Wale wakiahajipata hawayafanyi hayo wanyo ya sema. Money is working for them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…