Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

Kwa hiyo mfanyakazi akinunua IST na kujenga nyumba kwako unahukumu kama external validation?

Kwa hiyo akienda kazini apande daladala au bodabodana miaka yote aishi nyumba za kupanga?

Hakuna mtu anayefanya interview na kufaulu kwa sake of external validation hayo ni matokeo ya matumizi ya mshahara wake

Mzee inaonekana una wivu sana na watumishi, lakini hao hao wafanyakazi ndio wateja wako pale dukani kwako

Uchumi wa kununua matoleo mapya ya Land Cruiser na kulipana posho zenye thamani ya mishahara ya kada zingine upo?
Kusema nilicho sema siku maanisha literally,

Nilitolea mfano endapo mtu ata nunua IST ili naishi katika zone ya kifungo. Siku maanisha kununua IST ni umaskini au kukosa uhuru.

Ilikuwa ni mfano, kuna watu wana a range ila bado nao wako vifungoni. It's all about peace and freedom in what you do.
 
The value you are talking about doesn't come from doing robotic acrivities

It comes from doing things that allows you to bring something on the table..

Mbona haujatolea mfano mfanyakazi wa kiwanda I anayerudia kile kile kama mashine?

On the other side of the coin, uko sahihi kila mtu anajua anachokipenda
Mkishasoma vitabu vya Robert Kiyosaki,Napoleon Hill, Dave Ramsey,Morgan Housel, Tim ferris na mkishaangalia vipodcast vya CEO ,wa Room of jeans ,Dominik Mmasy basi mnaona mshayajua maisha ,mnakuja kutukashifu baba zenu sio?.. Pathetic

Ukianza kulipa bills ndio utajua reality of life
 
Ni wachache
Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.

Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!

No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 anako take home nako kasipotee..

Ila akipiga mahesabu anajua hata kujenga hawezi akiendelea hivyo.

Ni kwanini? Ni kwa sababu ndicho kitu ulicho kiona na inabidi ukirudie.

Uhuru wako hauko bound kwa kazi na cheo wala hiyo IST unayoimiliki. Watu wanaingiza katika ndoa just because kaka na dada zao wameoa.

Yaani mtu mzima mwenye akili timamu, unaenda kufanya kitu usicho kipenda kwa miaka 50 straight?

Ndugu zangu, sometimes ni sisi wenyewe tunajitakia, hakuna aliye ishika akili yako na mawazo yako. Kwanini ufungwe katika kifungo cha system za kijamii zenye kukukandamiza nafsi yako?

Unashangaa mtu mzima kabisa, wanafamilia na anaingiza kipato kizuri ila a Nashindwa kujinasua kwa sababu wanaogopa ku take risk...

Hakuna kitu inakuja kirahisi na hakuna mtu a najijua vyema bali wewe,

Katika harakati za kujinasua katika Kurudi kitu kile kile kwa miaka 50 nimegundua ili kutoka lazima u cut off, watu na wewe mwenyewe umchukue risk consecutively.

Uwe na uwezo wa ku choma hata 50M na usijutie maana unakuwa on the right direction. Sasa leo mtu unamwambia risk kama hiyo Anakuona delusional.

No one is coming to save your ass, man up and get out the chains your own mind.

Blue Monday hii Wacha mapambano yaendelee.
Hapa bongo ni wachache sana wahafurahia kazi zao yaaani wangeweza pata mishahara bila kwenda kazini wange opt ivyo
 
Mkishasoma vitabu vya Robert Kiyosaki,Napoleon Hill, Dave Ramsey,Morgan Housel, Tim ferris na mkishaangalia vipodcast vya CEO ,wa Room of jeans ,Dominik Mmasy basi mnaona mshayajua maisha ,mnakuja kutukashifu baba zenu sio?.. Pathetic

Ukianza kulipa bills ndio utajua reality of life
Mkuu sijawahi kuamini katika kitabu kisicho kuwa na practical application hasa kama naona hakiendani na misingi ya maisha yangu.

So hayo unayo yasema hapo huenda ni mtazamo wako tu.

Nilicho jaribu kuelezea hapa ni kwa nini mtu naishi katika kifungo cha kufanya kazi wakati ana utashi na uwezo wa kufanya kile anaona kitampa furaha na amani ya moyo, hata kwa baadae akisha fanya savings?
 
Ni wachache

Hapa bongo ni wachache sana wahafurahia kazi zao yaaani wangeweza pata mishahara bila kwenda kazini wange opt ivyo
Ni kweli, kama mindset zetu huwa tunadhani hela ndio gateway, ila jamaa huwa wako disciplined vibaya mno. Na hutengeneza systems bora zitakazo wafanya waendelee kuwa huru
 
Kwani maisha kwako unayaona yanagotea wapi? Au unaona mtu a kifanya nini anakuwa kamaliza na hana deni na maisha?
Maisha yapo vile vile tu, sema binadam tumeamua kujiongezea umuhimu usio tuhusu. Kumiliki gari kali, kumiliki ndege, nyumba nzuri, na mambo mengine ya luxurious, yote haya ni mambo yasiyo na umuhimu wowote sisi binadam.
 
Sawa na uko sahihi, ila mwanzo ulimaanisha kile unacho kifanya hata kwa expense ya afya yako na uhuru wako pia ni kawaida ya maisha!!?

Which was so wrong, na ilikuwa justification ya kukaa kwenye kifungo kwa kusingizia ndo maisha yalivyo
 
Kusema nilicho sema siku maanisha literally,

Nilitolea mfano endapo mtu ata nunua IST ili naishi katika zone ya kifungo. Siku maanisha kununua IST ni umaskini au kukosa uhuru.

Ilikuwa ni mfano, kuna watu wana a range ila bado nao wako vifungoni. It's all about peace and freedom in what you do.
Ila anayeshinda dukani kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku hayuko kifungoni?

Dunia ya sasa yenye ushindani hakuna peace wala freedom sio kwa wamiliki wa biashara kubwa, wafanyabiashara wadogo na wa kati, CEOs, managers wala waajiriwa

Ulizia ratiba ya Dangote au Mo utapata jibu
 
The value you are talking about doesn't come from doing robotic acrivities

It comes from doing things that allows you to bring something on the table..

Mbona haujatolea mfano mfanyakazi wa kiwanda I anayerudia kile kile kama mashine?

On the other side of the coin, uko sahihi kila mtu anajua anachokipenda

Mafannikio ni kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu

Uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo

Issue inabidi kuwa hivi doesn't matter unafanya nn ila Add value ya unachofanya according to the time and space

Jay z kaanza muziki na miaka 26 Leo hii ana miaka 56 over 30 yrs yupo anafanya muziki

Ila value ya Jay z akiwa at 26 ni tofauti na Jay z akiwa at 56

So the important sio kufanya one shit miaka na miaka ila ni kufanya hiyo shit iweze kukulipa zaidi
 
Lakini kila taifa linahitaji wataalamu engineers, MDs, walimu n.k

Hata kama wanafanya vitu vilevile kwa miaka 30+ tunawashukuru sana kwa huduma zao

Labda ungesema serikali ya CCM iwaongezee mishahara au marupurupu kuwapa motisha zaidi
kabla ya mishahara na marupurupu kuwe na taifa lenye ustawi kwanza, alafu mazingira na mifumo viwe wezeshi
 
Ila anayeshinda dukani kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku hayuko kifungoni?

Dunia ya sasa yenye ushindani hakuna peace wala freedom sio kwa wamiliki wa biashara kubwa, wafanyabiashara wadogo na wa kati, CEOs, managers wala waajiriwa

Ulizia ratiba ya Dangote au Mo utapata jibu
Usiangalie mtu anacho kisema mtandaoni ukadhani ni maisha yake.

Wale wakiahajipata hawayafanyi hayo wanyo ya sema. Money is working for them
 
Back
Top Bottom