Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

Hadi sasa hivi Lissu ni shujaa, No Reforms NO Election ishapenya ndani ya CCM kunawaka moto si wa kitoto, kigogo kajipitisha jina kuutaka Urais bila kufuata Katiba, taratibu za chama chao.

Patamu hapoo shekh!!
 
Bora CCM, ingawa sijawahi kuipigia kura

..Wakoloni wa Kiingereza walikuwa na afadhali kuliko Ccm.

..Kwa mfano, hakuna kiongozi wa Tanu aliyeuwawa wakati wa harakati za kudai uhuru.

..Wakati huohuo wapinzani kadhaa wameuwawa na vyombo vya Ccm wakati wa harakati za demokrasia.
 
Back
Top Bottom