Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 1,818
- 3,642
Wapo wengi na hawahesabiki....Kwa majibu wa mafundisho ya kibuddha hakuna Mungu mmoja ila wapo wengi na hawaesabiki na katika hatua kumi ambazo viumbe wenye akili na hisia hupatikana Mungu yupo kwenye hatua ya sita.
Mungu pia hufa na kuzaliwa.
Vipi kati ya hao wengi hakuna kiongozi wao?